Limbukeni;
Ieleweke kuwa Kihistoria na uzoefu Mapenzi hupanda na kushuka except katika few cases.
Mimi nadhani ni vyema sasa Mapenzi au ndoa nyingi zijengwa kwanza katika foundation ya urafiki zaidi kuliko mapenzi. Ikiwa hivyo, hata inapofikia wakati mapenzi yanayumba, urafiki unabaki kama muhimili.
Vitu kama kuwa na common interests na hobbies vinasaidia sana achilia mapenzi yenyewe ambao wahenga walishasema mwanzoni ni matamu mwishoni . . . . .
Pia, Mkifanikiwa kiuchumi hilo pia ni jambo jema. Kitu kikubwa kinachoyumbisha ndoa ni upungufu wa mahitaji ya kifedha ambayo baadhi wanashawishika kuvuka mipaka na kutoka nje.
Mwishoni peaneni nafasi za kupumua. Zero distance kila wakati na ushushushu haufai.
If u love somebody, set him/her free! If he/she comes back to you, she is yours!