Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Nimekuwa nikijiuliza kwanini madaktari walipendekeza kuvaa makoti meupe je kuna uhusiano wowote wa rangi nyeupe na concept za kisayansi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sterile means free from micro organism including endospores sasa hospitali panatakiwa kuwa safi but hapawezi kuwa sterileNyeupe inahusiana na usafi.Sehemu yoyote panapohitajika kuwa safi huwa wanavaa white.
Butcheries.. Hotels..etc
Hospitali ni miongoni mwa maeneo yanayohitajika kuwa sterile muda wote
Nyeupe inahusiana na usafi.Sehemu yoyote panapohitajika kuwa safi huwa wanavaa white.
Hospitali ni miongoni mwa maeneo yanayohitajika kuwa sterile muda wote