Hehehe! Basi wanakuchora tu ili usijisikie vibaya, katika vitu ambavyo wadada huwa tunafundwa tukipelekwa unyagoni ni pamoja na hilo la kumsifia mwanaume hata kama ana kibamia kama cha Bishanga, sasa na wewe za kuambiwa changanya na zako afu upime mwenyewe kama kweli unazistahili hizo sifa..wala...naishi mandazi rodi msasani chumba cha uani.
Hehehe! Basi wanakuchora tu ili usijisikie vibaya, katika vitu ambavyo wadada huwa tunafundwa tukipelekwa unyagoni ni pamoja na hilo la kumsifia mwanaume hata kama ana kibamia kama cha Bishanga, sasa na wewe za kuambiwa changanya na zako afu upime mwenyewe kama kweli unazistahili hizo sifa..
Mmmmmmh!!!!!!!!!PS:Wakuu naomba nijipongeze hii ni my 5000th post!
Kama ya rejao....
Hahaha! Wifi ai misi yuu, yaani nilipanga usingetokea leo nikufanyie sapraizi ya kuja kwako jioni una bahati sana!Bora umempa ukweli wake Wifi.... Kazidi saana kujisifia B' lol
kwa nini umebadili avatar yako?
jamani Konnie mara ya mwisho tumekutana we mbona ndo ulilipia chumba ukanipa na hela ya taxi?
habari yangu mswano.Hivo vitu ulivotaja havi matter sana kwetu kama inavo matter kwa nyie guys..... B' Labda unayo yafuatayo...
- Una appreciate sana wanawake to the extent kua kila uwapo na mwanamke humfanya asikie she is the only special woman to you hapa duniani.
- Uko reliable.... ni the kind of man hata kama umebanwa vipi na wajua kabisa kua mpenzio akuhitaji (within reasonable realm) unahakikisha upo hapo kuweza angalia kama hilo swala lipo ndani ya uwezo wako.
- Tena wewe B' ni dhahiri wapenda wanawake na kila siku wajisifia. Lakini pamoja na hayo aidha ni one man woman hata kama ata last for a month OR kama wawachanganya you are really good... hata siku moja hawawezi juana. na wakijuana or kukutana umejenga mazingira kila mmoja afikiri the other ni ndugu wa damu.
- Wanaume wengi wanao jijua kua Senior wao ni mdogo sano, wako really really committed kutumia extra maujuzi kuhakikisha kua mwanamke wake karidhika..... Hivo yawezekana 6/6 uko fit hata kama you are not proud of the size.
- B' kila siku wajisifu kwa mapesa ulo nayo...... Yawezekana ni mtoa huduma mzuri sana kwa wapenzi wako.
Habari yako B'?
Leo mie ni denti (wa kusoma)!!!
Ngoja nikatafute madaftari!
Babu DC!!
Hahaha! Wifi ai misi yuu, yaani nilipanga usingetokea leo nikufanyie sapraizi ya kuja kwako jioni una bahati sana!
Uko poa weye?
Achana na B wifi manake anasifiwa wakati anajijua hana hizo sifa afu anavimba likichwa lol. Hajui wanawake tuna akili mpaka za akiba shauri yake!
Salam kwako mpendwa babu DC... Ukipata daftari pen mie ntakugea...Leo mie ni denti (wa kusoma)!!!
Ngoja nikatafute madaftari!
Babu DC!!