sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Hehehe! Basi wanakuchora tu ili usijisikie vibaya, katika vitu ambavyo wadada huwa tunafundwa tukipelekwa unyagoni ni pamoja na hilo la kumsifia mwanaume hata kama ana kibamia kama cha Bishanga, sasa na wewe za kuambiwa changanya na zako afu upime mwenyewe kama kweli unazistahili hizo sifa..wala...naishi mandazi rodi msasani chumba cha uani.