mbona naambiwa jana kaonekana nyumbani lounge na memba mmoja wa jf?Nakuaminia kwa masifa!
Nitts kasafiri kidogo, sijamfungia na kamwe siwezi kumfungia manake nna hakika hakuna wa kuninyang'anya... Amefika kwangu, mie pia kwake nimefika!
Mambo Babu DC,
(Vijukuu havina adabu siku hizi, nikupe shikamoo nataka kukunyima nini?)
Hivi una kilo ngapi? Maana umeibeba pikipiki.
ngoja nimuulize Konnie kama hayo maelezo yanajitosheleza.
:smash:Yaani Bishanga mimi nikiona post yako naona raha ajaaabu!
Hivo post zinavozidi kuongezeka idadi ndio jinsi raha yangu yaongezeka.
Nikisoma signature na kuangalia avatar yaani nahisi wewe ndie Mahatma Ghandhi mwenyewe.
Leo hii ilikua usipotokea hapa haki ya nani nimuombe Sweetie anitafutie namba yako kwa udi na uvumba!
Yaani Bishanga hapa jamvini bila wewe sidhani kama mimi naweza endelea kua member.... SIDHANI! :wink2:
Huyo ana wivu kama nyegere, achana naye.Mkuu asante kwa ma advice! Kumbe Kongosho ananiibia? aisee!
hebu mweleze bana,ile ingine alionekana machua man sasa hii lol utadhani ka serengeti boy!
Kwani unaelewa kigiriki wewe?Anakuibia alafu anakwambia sijui mpaka usimamishwe na P.O.P...!
Si matusi hayo mtani..?
simama dede,nikupe mkate...
kakisimama.....
kasimama peke yake kaona mchumba wake(rejao)
Ishia huko huko na hayo majungu yako!..mbona naambiwa jana kaonekana nyumbani lounge na memba mmoja wa jf?
Si hua wajisifia mwenyewe?!
Yaani Bishanga mimi nikiona post yako naona raha ajaaabu!
Hivo post zinavozidi kuongezeka idadi ndio jinsi raha yangu yaongezeka.
Nikisoma signature na kuangalia avatar yaani nahisi wewe ndie Mahatma Ghandhi mwenyewe.
Leo hii ilikua usipotokea hapa haki ya nani nimuombe Sweetie anitafutie namba yako kwa udi na uvumba!
Yaani Bishanga hapa jamvini bila wewe sidhani kama mimi naweza endelea kua member.... SIDHANI! :wink2:
Mkuu asante kwa ma advice! Kumbe Kongosho ananiibia? aisee!
hebu mweleze bana,ile ingine alionekana machua man sasa hii lol utadhani ka serengeti boy!
Hayajitoshelezi, ila ngoja tumpe muda!
AshaDii unajua nakumiss sana aise
Ukiwa humu ndani unanifanya nione raha ya kuendeela kuwamo
Though umenitupa sana
(mhh Bishanga kashasema uchakachuaji umekuwa prohibited)
Ila wewe dada ni mchokozi sana,
Pole kwa mwenye mali....
Babu DC!!
Rocky mimi jee? Sina raha nisipokuona..... nabaki namsumbua PA kama kawasiliana nawewe....
Nikiangalia na hio avatar.... OMG!! Heaven nahisi ina freeeze kabisaaaaa.... Hivi nilishawahi
kukuambia kua I can't fall asleep kabisa... Sijui hayo maneno kwenye sig ni kweli?? Dah...
Leo naona hata chakula nitakula baada ya kukuona R.... hakya nani vile!
:smash:
Thank you a lot dear
Afadhali umejitokeza bana ......Aise nilikumiss mbaya sana na jukwaa lilikosa uchangamfu kwa kukosekana kwako na PA
PA nae kawa mwana mpotevu sana
At least leo nitapata raha sana kukuona humu ndani
Love you dear ....... Am soo happy....
Ooh' R I am humbled you think so.... ADI Loves you too....
I am soo happy you are sooo happy....
PA is well and good.
Rocky mimi jee? Sina raha nisipokuona..... nabaki namsumbua PA kama kawasiliana nawewe....
Nikiangalia na hio avatar.... OMG!! Heaven nahisi ina freeeze kabisaaaaa.... Hivi nilishawahi
kukuambia kua I can't fall asleep kabisa... Sijui hayo maneno kwenye sig ni kweli?? Dah...
Leo naona hata chakula nitakula baada ya kukuona R.... hakya nani vile!
OMG, ADI is becoming naughtier and naughtier everyday.