Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Nakuaminia kwa masifa!

Nitts kasafiri kidogo, sijamfungia na kamwe siwezi kumfungia manake nna hakika hakuna wa kuninyang'anya... Amefika kwangu, mie pia kwake nimefika!
mbona naambiwa jana kaonekana nyumbani lounge na memba mmoja wa jf?
 
Mkuu jamaa yuko kwenye movie moja naipenda sana "You got Served"
So hakuna tofauti mkuu
Mzima lakini mkuu
ngoja nimuulize Konnie kama hayo maelezo yanajitosheleza.
 
Mambo Babu DC,
(Vijukuu havina adabu siku hizi, nikupe shikamoo nataka kukunyima nini?)

Hivi una kilo ngapi? Maana umeibeba pikipiki.

Ila wewe dada ni mchokozi sana,

Pole kwa mwenye mali....

Babu DC!!
 
Yaani Bishanga mimi nikiona post yako naona raha ajaaabu!
Hivo post zinavozidi kuongezeka idadi ndio jinsi raha yangu yaongezeka.
Nikisoma signature na kuangalia avatar yaani nahisi wewe ndie Mahatma Ghandhi mwenyewe.
Leo hii ilikua usipotokea hapa haki ya nani nimuombe Sweetie anitafutie namba yako kwa udi na uvumba!
Yaani Bishanga hapa jamvini bila wewe sidhani kama mimi naweza endelea kua member.... SIDHANI! :wink2:
:smash:

Mkuu asante kwa ma advice! Kumbe Kongosho ananiibia? aisee!
Huyo ana wivu kama nyegere, achana naye.

hebu mweleze bana,ile ingine alionekana machua man sasa hii lol utadhani ka serengeti boy!

Tena atakuwa bado mdogo sana, hajafaa hata kwa consumption lol

Anakuibia alafu anakwambia sijui mpaka usimamishwe na P.O.P...!
Si matusi hayo mtani..?

Kwani unaelewa kigiriki wewe?
P.O.P ni Place Organ in Popcorn

simama dede,nikupe mkate...
kakisimama.....
kasimama peke yake kaona mchumba wake(rejao)

Tena Rejao sitaki kabisa kumuona, hana hata hela ya bajai. Canta anatembea siku hizi kama nini
Nimemshauri aingie kwenye marathon
 
Hayajitoshelezi, ila ngoja tumpe muda!

Si hua wajisifia mwenyewe?!

Yaani Bishanga mimi nikiona post yako naona raha ajaaabu!
Hivo post zinavozidi kuongezeka idadi ndio jinsi raha yangu yaongezeka.
Nikisoma signature na kuangalia avatar yaani nahisi wewe ndie Mahatma Ghandhi mwenyewe.
Leo hii ilikua usipotokea hapa haki ya nani nimuombe Sweetie anitafutie namba yako kwa udi na uvumba!
Yaani Bishanga hapa jamvini bila wewe sidhani kama mimi naweza endelea kua member.... SIDHANI! :wink2:

Mkuu asante kwa ma advice! Kumbe Kongosho ananiibia? aisee!

hebu mweleze bana,ile ingine alionekana machua man sasa hii lol utadhani ka serengeti boy!
 
AshaDii unajua nakumiss sana aise
Ukiwa humu ndani unanifanya nione raha ya kuendeela kuwamo
Though umenitupa sana
(mhh Bishanga kashasema uchakachuaji umekuwa prohibited)

Rocky mimi jee? Sina raha nisipokuona..... nabaki namsumbua PA kama kawasiliana nawewe....
Nikiangalia na hio avatar.... OMG!! Heaven nahisi ina freeeze kabisaaaaa.... Hivi nilishawahi
kukuambia kua I can't fall asleep kabisa... Sijui hayo maneno kwenye sig ni kweli?? Dah...
Leo naona hata chakula nitakula baada ya kukuona R.... hakya nani vile!
 
He he he Babu sio uchokozi
Mara moja moja, wajukuu wana,mg'oa babu ndevu.
Ili kumuongezea siku za kuishi.

Ni faida kwa mwenye mali, unafaa hata kwa BBQ ya alfajiri.

Ila wewe dada ni mchokozi sana,

Pole kwa mwenye mali....

Babu DC!!
 
Rocky mimi jee? Sina raha nisipokuona..... nabaki namsumbua PA kama kawasiliana nawewe....
Nikiangalia na hio avatar.... OMG!! Heaven nahisi ina freeeze kabisaaaaa.... Hivi nilishawahi
kukuambia kua I can't fall asleep kabisa... Sijui hayo maneno kwenye sig ni kweli?? Dah...
Leo naona hata chakula nitakula baada ya kukuona R.... hakya nani vile!

Thank you a lot dear
Afadhali umejitokeza bana ......Aise nilikumiss mbaya sana na jukwaa lilikosa uchangamfu kwa kukosekana kwako na PA
PA nae kawa mwana mpotevu sana
At least leo nitapata raha sana kukuona humu ndani
Love you dear ....... Am soo happy....
 
Kongosho tatizo nini dear.... Nimekuudhi? Jamani unataka ninywe sumu?
Hujui mimi sipendi nikuudhi? Mimi nikikuona ndio starehe yangu.... Nikiona unapita thread hii na hii
ndio furaha yangu.... Nikiona Umeni "Like" ndio huhisi sasa naweza zimia! With you naweza fanya lolote
hata kulala na wewe kitanda kimoja mana jinsia ni undefined. Hivi unafikiri kwanini najigamba
wewe ni body guard? ile tu kutaha hakikisha uko close to me kila mara.. Ooooh Konny... Pleeease don't bite!
 
Labda una hela ya kutosha, au ni mcheshi, pia kuna aina ya vijana, ni so easy kufall nao, then badae unajiuliza, hapa nimependa nini? jibu hupati but still unampenda na hauko tayari kumpoteza
 
Thank you a lot dear
Afadhali umejitokeza bana ......Aise nilikumiss mbaya sana na jukwaa lilikosa uchangamfu kwa kukosekana kwako na PA
PA nae kawa mwana mpotevu sana
At least leo nitapata raha sana kukuona humu ndani
Love you dear ....... Am soo happy....

Ooh' R I am humbled you think so.... ADI Loves you too....

I am soo happy you are sooo happy....

PA is well and good.
 
Ooh' R I am humbled you think so.... ADI Loves you too....

I am soo happy you are sooo happy....

PA is well and good.

Thank you so much ADii
Feel so high you know
To know that someone somewhere loves you inakufanya ujihisi kama uko juu ya kilima kirefu kupita yote ulimwenguni
Am so happy you know ......
 
OMG, ADI is becoming naughtier and naughtier everyday.

Back
Top Bottom