Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Thank you so much ADii
Feel so high you know
To know that someone somewhere loves you inakufanya ujihisi kama uko juu ya kilima kirefu kupita yote ulimwenguni
Am so happy you know ......

I feel high to you know.... I agree kabisa it is nice to know someone loves u.

I am so happy you know that I know.... lol

Konnie what is the matter here
Mhhh kwani ADii si kasema ukweli wake

Mi nashagaa! nimemuuliza what is wrong hanijibu! lol
 
 
Unanibembeleza???

🙂 🙂 🙂

ndo napenda hivi, nimebembelezwe weeeee.

 

You know it is the same here eeh? Nikiona tu jambo zuri mawazo mbioooo kua hii yamfaa R'
Nikiwa na tatizo huyo mbiooo kwa R' mana no matter the disaster status yangu itakua hooked hapo hapo juu
ADI Love you too.....

BTW Naona ngoja tu nimsikilize Konny... naelekea kuharibu... hahaha... nisije nunua kesi.
 
Unanibembeleza???

🙂 🙂 🙂

ndo napenda hivi, nimebembelezwe weeeee.


Haswaaaa!! Nipo kukubembeleza.... lol

Hata hivo naona ni heed maneno na kurudi kwenye anti nasty. lol
 
Hapana Kongosho... ni for the benefit ya hii thread tunafanya practice....



Mie nimekushangaa wewe hapo... Hapo nyuma nimekusifia kweli lakini umenikaushia! lol
Nimeshakubali, wivu sina ila roho inauma.
Rocky asikusogelee, ntaenda kusema kwako.

Unanitisha Konnie
Sema neno bana na moyo wangu utulie

Nakuruhusu kumsifia kidogo tu, sio saaana.
 
Bishanga wewe nahisi una vihela ndo vinawapagawisha..
Si unajua siku hizi shost akitoka kwako anamwambia na shost wake kuna buzi pale pesa nje nje ila perfomance yake iko very poor usijali shost wewe angalia pochi yake tu mara ...unaona mwingine anajigonga ooh bishanga wewe handsome ..mtondogoo mwingine ..ooh bishanga hakuna mwanaume kama wewe hapa duniani hehe na kina nanihii wasemeje?
Umepima Bishanga?
 

Ayaaaaa!

naenda kusema kwa hommie....

 



Just know that you will always remain like that in my heart
Na nionapo bandiko lako najua napata mafunzo mapya ya maisha na namna mpya ya kuweka mambo sawa
Najihisi kufanikiwa na kubarikiwa sana kwa mabandiko yako hapa
Moyo ukipenda wazi kusema na haufichi hilo
Asante sana Dear
 
Nimeshakubali, wivu sina ila roho inauma.
Rocky asikusogelee, ntaenda kusema kwako.



Nakuruhusu kumsifia kidogo tu, sio saaana.

Mhhh utakuwa unanibania sana aise
Niruhusu nimsifie kwa kadri nitakavyopenda
Kama yuko juu always atakuwa juu tuu
 
Nimeshakubali, wivu sina ila roho inauma.
Rocky asikusogelee, ntaenda kusema kwako.

Nakuruhusu kumsifia kidogo tu, sio saaana.


Usijali... R' simsogelei tena! lol... Hata mimi sasa namuogopa.... hahaha:scared:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…