Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Labda una hela ya kutosha, au ni mcheshi, pia kuna aina ya vijana, ni so easy kufall nao, then badae unajiuliza, hapa nimependa nini? jibu hupati but still unampenda na hauko tayari kumpoteza
kama Bishanga ,eti?
 
Hapana Kongosho... ni for the benefit ya hii thread tunafanya practice....



Mie nimekushangaa wewe hapo... Hapo nyuma nimekusifia kweli lakini umenikaushia! lol
kwenye red.....what are you imlying?.......kwamba we naaaaaa.......
 
afu babu ODM, mambo ya kutoa picha yangu hapa!!!
Ntakunyimba usebule mwezi mzima.

Kuna mtu kanionea kongosho hapa? mwambieni namwita huku nimemmisi eti.....
Makonde_woman-546x600%5B1%5D.jpg
 
Bishanga wewe nahisi una vihela ndo vinawapagawisha..
Si unajua siku hizi shost akitoka kwako anamwambia na shost wake kuna buzi pale pesa nje nje ila perfomance yake iko very poor usijali shost wewe angalia pochi yake tu mara ...unaona mwingine anajigonga ooh bishanga wewe handsome ..mtondogoo mwingine ..ooh bishanga hakuna mwanaume kama wewe hapa duniani hehe na kina nanihii wasemeje?
Umepima Bishanga?
kwenye hako ka red,FL1 hivi kwenye sinema ushawahi kuona sterling anauawa?
 
Kuna mtu kanionea kongosho hapa? mwambieni namwita huku nimemmisi eti.....
Makonde_woman-546x600[1].jpg
toooba yarabi,kumbe hii ndo line picture ya konnie wakati anatoka kuelekea outing na aspirin? hivi mlikuwa mnatoka kwenda wapi vile,sheraton?
 
Najua ndo maana naweka ulinzi shirikishi...... incase mtu haipendi dental formula yake, na do the needful

attachment.php
ngoja niangalie hii picha vizuri,kuanzia kushoto kwenda kulia:
bishanga,kongosho,Aspirin na mbele kloro.
 
Hapo hata mimi kwa kweli nimefurahi... ngoja niserebuke kwanza..:violin:


attachment.php
kushoto mwenye shati la bluu ni Mwanakijiji ,kulia Faiza Foxy wakisherehekea ushindi wa CHICHIEM Arumeru,teh teh teh!
( picha na mpiga picha wetu)
 
Hahahaaaa Kongosho umenikumbusha Eliza wa Tegeta, wapi yeye?
Bishanga hebu tuambie ukweli unasifiwa ama unajisifia?!
Eliza wa T yuko katika wiki ya 37,muda wowote mtasikia ng'ee ng'eee....usicheze na Bishanga,huwa ninapiga panga moja tu mbuyu chini.
 
Mi nadhani zaidi ni ile style ya kuichora namba 8 mara 1000 kwa ncha ya ulimi pale,sasa lile joto la ulimi plus mtekenyo wake ukijumlisha na idadi ya michoro ya namba 8 ni wazi utatisha tu kaka lazima wadate na wewe..........!
 
Mi nadhani zaidi ni ile style ya kuichora namba 8 mara 1000 kwa ncha ya ulimi pale,sasa lile joto la ulimi plus mtekenyo wake ukijumlisha na idadi ya michoro ya namba 8 ni wazi utatisha tu kaka lazima wadate na wewe..........!
hahahahahaha huyu ndo Kim bana ngoja niku pm ki2 Kitamu,Mx
 
Nadhani utakuwa unatoa compliments ovyo ovyo. Hata kama mwanamke mbaya unamsifu sasa na wao wana return favour
 
Back
Top Bottom