Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Mkuu hongera sana. Post 5,000 si mchezo ati, hasa kama hujazi pumbaPS:Wakuu naomba nijipongeze hii ni my 5000th post!
kwenye red.....what are you imlying?.......kwamba we naaaaaa.......Hapana Kongosho... ni for the benefit ya hii thread tunafanya practice....
Mie nimekushangaa wewe hapo... Hapo nyuma nimekusifia kweli lakini umenikaushia! lol
Kuna mtu kanionea kongosho hapa? mwambieni namwita huku nimemmisi eti.....
kwenye hako ka red,FL1 hivi kwenye sinema ushawahi kuona sterling anauawa?Bishanga wewe nahisi una vihela ndo vinawapagawisha..
Si unajua siku hizi shost akitoka kwako anamwambia na shost wake kuna buzi pale pesa nje nje ila perfomance yake iko very poor usijali shost wewe angalia pochi yake tu mara ...unaona mwingine anajigonga ooh bishanga wewe handsome ..mtondogoo mwingine ..ooh bishanga hakuna mwanaume kama wewe hapa duniani hehe na kina nanihii wasemeje?
Umepima Bishanga?
Eliza wa T yuko katika wiki ya 37,muda wowote mtasikia ng'ee ng'eee....usicheze na Bishanga,huwa ninapiga panga moja tu mbuyu chini.Hahahaaaa Kongosho umenikumbusha Eliza wa Tegeta, wapi yeye?
Bishanga hebu tuambie ukweli unasifiwa ama unajisifia?!
hahahahahaha huyu ndo Kim bana ngoja niku pm ki2 Kitamu,MxMi nadhani zaidi ni ile style ya kuichora namba 8 mara 1000 kwa ncha ya ulimi pale,sasa lile joto la ulimi plus mtekenyo wake ukijumlisha na idadi ya michoro ya namba 8 ni wazi utatisha tu kaka lazima wadate na wewe..........!
Ucheshiwako na unavyowapatiliza wa dada hata kama pesa huna lakini mda na kauli tamu ni silaha kubwa kwa mwanamke mwenye hekma.