Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

hahahahaaaaaaa.....mbavu zangu jamani.......MamaB ulimi wangu una aleji na hiyo maneno,wayapenda weye?
Kwa nini nisipende lakini kwa yule wangu wa moyo, sio kwa kila mtu, kama ww ulivyo na mahawara kibao.
 
hahahahahah sasa bishanga mupenzi akishakusifia si ndo umuulize? usikute anakusifia kwa kuwa humchoshi na mkwanja unatoa
 
Hivo vitu ulivotaja havi matter sana kwetu kama inavo matter kwa nyie guys..... B' Labda unayo yafuatayo...


  1. Una appreciate sana wanawake to the extent kua kila uwapo na mwanamke humfanya asikie she is the only special woman to you hapa duniani.
  2. Uko reliable.... ni the kind of man hata kama umebanwa vipi na wajua kabisa kua mpenzio akuhitaji (within reasonable realm) unahakikisha upo hapo kuweza angalia kama hilo swala lipo ndani ya uwezo wako.
  3. Tena wewe B' ni dhahiri wapenda wanawake na kila siku wajisifia. Lakini pamoja na hayo aidha ni one man woman hata kama ata last for a month OR kama wawachanganya you are really good... hata siku moja hawawezi juana. na wakijuana or kukutana umejenga mazingira kila mmoja afikiri the other ni ndugu wa damu.
  4. Wanaume wengi wanao jijua kua Senior wao ni mdogo sano, wako really really committed kutumia extra maujuzi kuhakikisha kua mwanamke wake karidhika..... Hivo yawezekana 6/6 uko fit hata kama you are not proud of the size.
  5. B' kila siku wajisifu kwa mapesa ulo nayo...... Yawezekana ni mtoa huduma mzuri sana kwa wapenzi wako.


Habari yako B'?

Ashadii,yesterday i said you are a genius but i think you are more than that.Hebu ni-PM,may be you can revive my alraedy lost direction
 
habari yangu mswano.
Hapo kwenye red Asha umejuaje?

Si hua wajisifia mwenyewe?!

we Asha kwa nini hujanipongeza nimefikisha post alf tano leo?


Yaani Bishanga mimi nikiona post yako naona raha ajaaabu!
Hivo post zinavozidi kuongezeka idadi ndio jinsi raha yangu yaongezeka.
Nikisoma signature na kuangalia avatar yaani nahisi wewe ndie Mahatma Ghandhi mwenyewe.
Leo hii ilikua usipotokea hapa haki ya nani nimuombe Sweetie anitafutie namba yako kwa udi na uvumba!
Yaani Bishanga hapa jamvini bila wewe sidhani kama mimi naweza endelea kua member.... SIDHANI! :wink2:
 
Hehehe! Basi wanakuchora tu ili usijisikie vibaya, katika vitu ambavyo wadada huwa tunafundwa tukipelekwa unyagoni ni pamoja na hilo la kumsifia mwanaume hata kama ana kibamia kama cha Bishanga, sasa na wewe za kuambiwa changanya na zako afu upime mwenyewe kama kweli unazistahili hizo sifa..
jamani sasa ndo unanishauri nini,niende kwa wachina?
 
Jana rafiki yangu kipenzi kaniuliza..'hivi wewe Bishanga wanawake wanavyokupapatikia unadhani ni kwa vile we ni handsome?' Nilitafakari na baada ya kufika nyumbani nilisalula kila kitu nikabaki kwenye suti yangu ya kuzaliwa kisha nikasimama mbele ya kioo.Looo nilichokiona...mtumbo huo utadhani bogi benda,mpua ka wa Pinoccio,kushusha macho chini kanonino saizi ya bamia ,vimiguu ka fito,kupandisha macho juu bichwa shepu utadhani niligongwa na treni utotoni,nikawaza labda napendwa shauri ya pafomensi lakini mbona nikiingia mchezoni arusha moshi arusha moshi mbona dakika mbili niko Gilman point ? (halafu eti naambiwa...'darling that was great...mmmhhhh Bishanga wonders!). Kina mama hebu nipeni mwanga mnahisi nini siri ya mafanikio yangu hadi napapatikiwa na kugandwa ka luba?
PS:Wakuu naomba nijipongeze hii ni my 5000th post!

Sorry Bishanga napita tu lakini labda ilienda pande zile za Muheza,Tanga ukapata kitu kinaitwa "NGEKEWA"Te te te te.........
Na hongera sana kwa 5000th post
 
Miss you more my sweet wifi... Niko pouwa kabisaaa.... nyumbani siku hizi pabaya! Canta kaolewa, Husny kaamia kwa mchumbake, Mwali kaenda shule, Smile anajitegemea, Golden Mpolee ajulikani yupo wapi!
Na King'asti nae...?
 
Miss you more my sweet wifi... Niko pouwa kabisaaa.... nyumbani siku hizi pabaya! Canta kaolewa, Husny kaamia kwa mchumbake, Mwali kaenda shule, Smile anajitegemea, Golden Mpolee ajulikani yupo wapi! Nataka niwatoe watoto boarding waanze kusoma day...lol

Wee wifi mimi naona tubanane na B' tumsifieeeee hadi atugaie mapesa! hahahah
Daah pole sana lovely wifi manake sipati picha hapo nyumbani palivyopoa... Kumbe husni alivonambia atahamia kwa Judgement kafanya kweli? Mie nilidhani anantania.... Kaka atakubali kweli watoto warudi day? Sina hakika....


Afu wifi mke mwenza King mbona simwelewi?...kama wewe umebahatika kumwelewa tafadhali nijuze ili roho yangu itulie.


Bishanga leo ni wetu, hatumwachi asee.. Chezeiya bepari la kihaya weye?
 
Asante, hata mie ananichanganya sana siku hizi.
Kuna wakati namptita bila hata salamu sababu nimemsahau.

Rocky bana nyoa kipara viduku vya masharobaro lol
hebu mweleze bana,ile ingine alionekana machua man sasa hii lol utadhani ka serengeti boy!
 
Nikupe hela kwa lipi?

Mtu mwenyewe hadi ufungwe P.O.P ndo unasimama, ushindwe!
Labda alikuwa Eliza wa Tegeta.
simama dede,nikupe mkate...
kakisimama.....
kasimama peke yake kaona mchumba wake(rejao)
 
Back
Top Bottom