Siri ya mafanikio ya Illuminati

Andrew Nyerere,

Wouldn't The Venerable Pannasekara call this low art?
 
Last edited by a moderator:
nadhani ukitaka kumuelewa andrew kuhusu illuminat, na freemason, tafuta vitabu vingi sana viko online vinaelezea kila kitu kuhusu hz secret society.
 
Haya mambo ya Illuminati nimeyapata katika Phoenix Archives. It is all very simple really. Lakini documents ni ndefu sana,ndio maana naweka a few quotes here.
Unauliza Rev. Pannasekara angefikiria nini kuhusu haya mambo. Hawa watu wa dini wanakuwa affetced sana na hawa matajiri. Kwa sababu what happens,wanakuwa na project ya translation,kuandika Scriptures,halafu wakishindwa kupata hela wanakwenda kwa Rockeffeleer au Rothschild kupata msaada,matokeo yake ni kwamba Neno La Mungu linaandikwa kumpendeza Rockefeller au Rothschild.

 

mkuu hizi greater key na lesser key wansema zilitumiwa na smfalme suleiman,na alikuwa ndio mtu mwenye hekima kuliko wote na tajir sana,ila kwa jamii yetu ya kibongo wanasema ni uchawi,je tuseme nabii suleiman alikua mchawi?
 
Ukisoma post nyingi za huyu Andrew ni mambo hayo hayo ya ma-Iluminati and some crazy cults!
yani huyu mtoto wa mwalimu nyerere nadhani anatumia muda mwingi kuwasoma hawa jamaa, ni kupoteza muda kufuatilia vitu vya kishetani. Huo muda ni bora angetumia kusoma biblia ingemsaidia kuliko kusoma hadithi za kusadikika
 
mi sijaelewa hata kimoja kila kitu ni term geni kwangu oooh! poor me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…