Siri ya mafanikio ya Illuminati

Siri ya mafanikio ya Illuminati

nadhani ukitaka kumuelewa andrew kuhusu illuminat, na freemason, tafuta vitabu vingi sana viko online vinaelezea kila kitu kuhusu hz secret society.
 
Haya mambo ya Illuminati nimeyapata katika Phoenix Archives. It is all very simple really. Lakini documents ni ndefu sana,ndio maana naweka a few quotes here.
Unauliza Rev. Pannasekara angefikiria nini kuhusu haya mambo. Hawa watu wa dini wanakuwa affetced sana na hawa matajiri. Kwa sababu what happens,wanakuwa na project ya translation,kuandika Scriptures,halafu wakishindwa kupata hela wanakwenda kwa Rockeffeleer au Rothschild kupata msaada,matokeo yake ni kwamba Neno La Mungu linaandikwa kumpendeza Rockefeller au Rothschild.

 
Rothschild alimuagiza Adma Weishaupt kuanzisha Illuminati. Weishaupt alikuwa anatafuta Greater na Lesser keys of Solomon,ambazo ndizo nimezipost hapa. Rothschild provided the keys. Kwa hiyo Adam Weishaupt akaianzisha dini ya Illuminati kwa kutumia hizi keys pamoja na Caballa. Dini,imani ya Illuminati ni Keys na Caballa. Adam Weishaupt akawa priest for the Illu
Every successful individual,taasisi pamoja na Serikali iliyopata mafanikio duniani,have one thing in common. This was the method used.
Kila ambye hajapata mafanikio duniani,they have ,likewise,one thing in common,they have not used these dastardly techniques that are described here in these works.
Sijazisoma. I want now to see what it is.

mkuu hizi greater key na lesser key wansema zilitumiwa na smfalme suleiman,na alikuwa ndio mtu mwenye hekima kuliko wote na tajir sana,ila kwa jamii yetu ya kibongo wanasema ni uchawi,je tuseme nabii suleiman alikua mchawi?
 
Ukisoma post nyingi za huyu Andrew ni mambo hayo hayo ya ma-Iluminati and some crazy cults!
yani huyu mtoto wa mwalimu nyerere nadhani anatumia muda mwingi kuwasoma hawa jamaa, ni kupoteza muda kufuatilia vitu vya kishetani. Huo muda ni bora angetumia kusoma biblia ingemsaidia kuliko kusoma hadithi za kusadikika
 
mi sijaelewa hata kimoja kila kitu ni term geni kwangu oooh! poor me!
 
David-Rockefeller-1024x768.jpg

NathanRothschild.jpg

tumblr_m3ri0aapm31qi6pp3o1_500.jpg

Rockefellers-Rothschilds.jpg
 
Back
Top Bottom