Siri ya mafanikio ya Wema na Wolper

Huyo demu Wolper kumshirikisha filamu moja ni million10 cash no advance.
Vipi ashindwe kumiliki jumba la milioni 250?

Au kakunyima 'uchi'nini?
 
10M??????? jamani tumieni upeo kufikiri mambo kidogo. MOVIE yote inagharimu 10M then Wolper anapewa 10M kwa kumshirikisha kila movie.
 
10M??????? jamani tumieni upeo kufikiri mambo kidogo. MOVIE yote inagharimu 10M then Wolper anapewa 10M kwa kumshirikisha kila movie.

bora hata wewe umeshangaa.!!
 
Kama unaushahidi si upeleke, Polisi kuliko kumchafua dada wa watu kwa wivu wako wakutokubari juhudi za mwenzio.

Kwani wewe baada ya kuyajua haya huwezi kwenda police ili wachunguze? Taifa hili kila mtu akiwa mlinzi wa mwenzake tutasonga mbele. Huu siyo wivu, tunakemea tabia mbaya ili tuishi maisha yanayokubalika na jamii yetu ya kitanzania.
 
Hawaeleweki hawa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
10M??????? jamani tumieni upeo kufikiri mambo kidogo. MOVIE yote inagharimu 10M then Wolper anapewa 10M kwa kumshirikisha kila movie.
Hiyo ni kauli yake mwenyewe kwamba bila 10m hujamshirikisha kwenye filamu!!
 
Nimekubali hichi ni kisima cha ma great thinker This was a 2013 post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…