Siri ya mafanikio ya Wema na Wolper

Siri ya mafanikio ya Wema na Wolper

Huyo demu Wolper kumshirikisha filamu moja ni million10 cash no advance.
Vipi ashindwe kumiliki jumba la milioni 250?

Au kakunyima 'uchi'nini?
 
10M??????? jamani tumieni upeo kufikiri mambo kidogo. MOVIE yote inagharimu 10M then Wolper anapewa 10M kwa kumshirikisha kila movie.
 
10M??????? jamani tumieni upeo kufikiri mambo kidogo. MOVIE yote inagharimu 10M then Wolper anapewa 10M kwa kumshirikisha kila movie.

bora hata wewe umeshangaa.!!
 
Kama unaushahidi si upeleke, Polisi kuliko kumchafua dada wa watu kwa wivu wako wakutokubari juhudi za mwenzio.

Kwani wewe baada ya kuyajua haya huwezi kwenda police ili wachunguze? Taifa hili kila mtu akiwa mlinzi wa mwenzake tutasonga mbele. Huu siyo wivu, tunakemea tabia mbaya ili tuishi maisha yanayokubalika na jamii yetu ya kitanzania.
 
Hawaeleweki hawa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
10M??????? jamani tumieni upeo kufikiri mambo kidogo. MOVIE yote inagharimu 10M then Wolper anapewa 10M kwa kumshirikisha kila movie.
Hiyo ni kauli yake mwenyewe kwamba bila 10m hujamshirikisha kwenye filamu!!
 
Habari zilizopo chini ya carpet ni kwamba waigizaj classic bongo wenye majina makubwa apa mjini namzungumzia wolper na wema,inasemekana wanajihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.kwa mujibu wa tetes wolper alianza biashara hiyo mwaka 2010.biashar hyo alifundishw na mpenz wake wa zaman aitwae chidy(zaman alikuw anaish sinza a) ila baadae walimwagana na huyo jamaa kutokan na wivu wa kimapenz.baadae aliamia kwa jamaa mmoja iv anaitwa dallas ambay anaish maeneo ya boko.jamaa alikuw na pesa chafu na ndiye aliyekuwa anampa jeur wolper na yeye inasemekan alikuw anafany biashar hyo.baadae walimwagana coz kila mtu alikuw anatak kumtawal mwenzie, wolper kuonyesh jeur ya pesa alimfukuza jamaa kweny nyumb yake.tokea apo wolper hakusikika kuw na mtu yeyote.mwanzon watu walijua wolper ataadhirika baada ya kumwagana na mwanaume aliyeaminika kumuweka mjin,ila hali imekuwa tofaut kwan mtoto anamilik ghorofa la maana huko mbezi beach ambalo ndan limeshehen vitu vya thamn isiyopungua million 80.ivi karibun amenunua gari aina ya mini cooper inayogharimu mamilion ya shillingi.ki ukwel kwa mujibu wa majiran wolper anaish maisha ya juu sana,swal je pesa anazitoa wap? Ni hizo filam za kibongo anazocheza mar sita kwa mwaka?,wolper hana mwanaume anayempa jeur kwa sasa ila ni biashara zake haram anazozifanya

Nimekubali hichi ni kisima cha ma great thinker This was a 2013 post
 
Back
Top Bottom