Siri ya mafanikio ya Wema na Wolper

Siri ya mafanikio ya Wema na Wolper

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Habari zilizopo chini ya carpet ni kwamba waigizaj classic bongo wenye majina makubwa apa mjini namzungumzia wolper na wema,inasemekana wanajihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.kwa mujibu wa tetes wolper alianza biashara hiyo mwaka 2010.biashar hyo alifundishw na mpenz wake wa zaman aitwae chidy(zaman alikuw anaish sinza a) ila baadae walimwagana na huyo jamaa kutokan na wivu wa kimapenz.baadae aliamia kwa jamaa mmoja iv anaitwa dallas ambay anaish maeneo ya boko.jamaa alikuw na pesa chafu na ndiye aliyekuwa anampa jeur wolper na yeye inasemekan alikuw anafany biashar hyo.baadae walimwagana coz kila mtu alikuw anatak kumtawal mwenzie, wolper kuonyesh jeur ya pesa alimfukuza jamaa kweny nyumb yake.tokea apo wolper hakusikika kuw na mtu yeyote.mwanzon watu walijua wolper ataadhirika baada ya kumwagana na mwanaume aliyeaminika kumuweka mjin,ila hali imekuwa tofaut kwan mtoto anamilik ghorofa la maana huko mbezi beach ambalo ndan limeshehen vitu vya thamn isiyopungua million 80.ivi karibun amenunua gari aina ya mini cooper inayogharimu mamilion ya shillingi.ki ukwel kwa mujibu wa majiran wolper anaish maisha ya juu sana,swal je pesa anazitoa wap? Ni hizo filam za kibongo anazocheza mar sita kwa mwaka?,wolper hana mwanaume anayempa jeur kwa sasa ila ni biashara zake haram anazozifanya
 
Kama unaushahidi si upeleke, Polisi kuliko kumchafua dada wa watu kwa wivu wako wakutokubari juhudi za mwenzio.
 
kuishi mjini shida sana
 
Kazi ipo...Kichwa cha habari ni Wema na Wolper....maelezo yote yanamuhusu Wolper peke yake......Kaazi kwelikweli.
 
maelezo
ya
Wema
yakowapi?
au
unaendelea?
 
Movie bado haijaisha mleta mada inaonekana bado anaandika script
 
Umbea unakusumbua tu wewe na wivu unahakika na unachokiongea?? Police wakija unaweza weka ushahidi???

Bure kabisa wewe
 
huyu wolper hapa juzi juzi alifumwa na magazeti ya shigongo akifanya ukahaba blue pearl ubungo kwa dola 500 kwa single night?
 
tatzto tz ukifanikiwa unahucshwa na madawa au freemason.jaman wolper anamirad kbao inayompa mafanikio.acha fkra za ktoto hzo......nawe anza il upge vta umaskn.
 
Juzi kati huyo Wolper katangazwa ametimuliwa kwenye hilo ghorofa alilopangishwa kwa kushindwa kulipa kodi.na hivi sasa anagombea kupanga nyumba kino.
We udaku huujui umekalia umbea tu
 
Kwa hiyo kei ndo rushwa yao kwa vikosi vya lnterejinsia?
 
tatzto tz ukifanikiwa unahucshwa na madawa au freemason.jaman wolper anamirad kbao inayompa mafanikio.acha fkra za ktoto hzo......nawe anza il upge vta umaskn.

hahahahaha.....umegusa mahala pake,,safi sana
 
tatzto tz ukifanikiwa unahucshwa na madawa au freemason.jaman wolper anamirad kbao inayompa mafanikio.acha fkra za ktoto hzo......nawe anza il upge vta umaskn.

Wolpef ana mafanikio kwa sababu anapiga sana virungu
 
Back
Top Bottom