Siri ya mafanikio yangu kwenye betting

Siri ya mafanikio yangu kwenye betting

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
277
Reaction score
381
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting.
Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao?
Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu hali ni mbaya!!
SmartSelect_20230205-213346_Chrome.jpg
 
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting.
Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao?
Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu hali ni mbaya!!View attachment 2507675

Weka dau kubwa odds 3 au 4 tu
Usitegemee kula kwa 500 japo inatokea ila kwa nadra sana kuliko kuweka mpunga mrefu kwa odds chache
 
Kuna miamba Telegram binafsi nimelipia miezi 5 wananisaidia sana wanatoa odds 2 tu tena mkeka mmoja kwa siku au siku ikiwa mbaya watatoa onyo mapemaa mambo ya kuchambua yashanishinda ukiwahitaji waone Telegram
la mwisho tukumbuke KUBET KISTAARABU
 
unalipia ngap boss
 
Beting ni biashara kuna watu wanafanya maisha kwa beting alafu kuna watu wanafilisika mixer kukonda mpaka kutaka kuwehuka kwa kamari.ila mwisho wa siku beti kistaarbu muhindi sio kabisa yule.
 
Kuna miamba Telegram binafsi nimelipia miezi 5 wananisaidia sana wanatoa odds 2 tu tena mkeka mmoja kwa siku au siku ikiwa mbaya watatoa onyo mapemaa mambo ya kuchambua yashanishinda ukiwahitaji waone Telegram
la mwisho tukumbuke KUBET KISTAARABU
Umeanzisha uzi kuja kujipa promo😂😂
 
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting.
Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao?
Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu hali ni mbaya!!View attachment 2507675
tembelea huu uzi uwezi kosa odds mbili kwa wana
 
Kwa mtindo huo utapigwa kila siku mpaka uchakae, achana na masuala ya bet.
 
Kuna miamba Telegram binafsi nimelipia miezi 5 wananisaidia sana wanatoa odds 2 tu tena mkeka mmoja kwa siku au siku ikiwa mbaya watatoa onyo mapemaa mambo ya kuchambua yashanishinda ukiwahitaji waone Telegram
la mwisho tukumbuke KUBET KISTAARABU
Acha utapeli kijana! Kwa vigroup vyenu uchwara kuwaibia watu...hakuna sure odds wala fixed odds....hata odds 1.01 inachana
 
Betting ni uwekezaji, wekeza muda na pesa za kutosha ...sio kuingia na kuanza kubonyeza bonyeza tu unaotea...style yako ya kuweka 500 upate malaki au mamilioni ni nzuri ila itakukuchua muda so uwe mvumilivu...Mimi nimejifunza nimeamua kubase kwenye tennis only..odds 2 Hadi 4 kukosa ni Mara chache Sana ( kama Nina mikeka 10 kwa wiki ujue naweza kosa mikea 2 tu)..lakini uchambuzi wangu unaweza chukua hata masaa 2....Tafuta mchezo mmoja komaa nao kama ni basketball au soccer etc
 
Back
Top Bottom