Siri ya Maisha na ghorofa la Kariakoo

Siri ya Maisha na ghorofa la Kariakoo

Watakwambia Allah/Mungu ndo alipanga jengo lijengwe chini ya viwango ili liue watu. Hii yote ni kukwepa accountability ili kulindana na kuendeleza uzembe na upigaji.
Yaah hilo la Mungu kapanga hili ama lile, mtu kachomwa moto, kachomwa kisu, au kama ivo kaangukiwa na jengo kabanwa mbavu kafa kwa maumivu makali halafu useme Mungu ndio kapanga iwe hivyo, why??
 
We live in a World that puts too much emphasis on materialism,
No amount of stuff can change your situation if you're not in good health,
Being alive and living is what matters most.
 
Yaah hilo la Mungu kapanga hili ama lile, mtu kachomwa moto, kachomwa kisu, au kama ivo kaangukiwa na jengo kabanwa mbavu kafa kwa maumivu makali halafu useme Mungu ndio kapanga iwe hivyo, why??

Ni ujinga wa miafrika.
 
Back
Top Bottom