Adam Kunga
New Member
- May 25, 2025
- 2
- 1
Kwa usalama wako, usijiandae kukwepa chochote, jiandae kuhimili chochote!
Haijalishi unaweza kukwepa mangapi, ila unaweza kuhimili mangapi?
Jisamehe ukikosea, jipe muda usipoelewa.