Adam Kunga New Member Joined May 25, 2025 Posts 2 Reaction score 1 Nov 1, 2026 #1 Kwa usalama wako, usijiandae kukwepa chochote, jiandae kuhimili chochote! Haijalishi unaweza kukwepa mangapi, ila unaweza kuhimili mangapi? Jisamehe ukikosea, jipe muda usipoelewa.
Kwa usalama wako, usijiandae kukwepa chochote, jiandae kuhimili chochote! Haijalishi unaweza kukwepa mangapi, ila unaweza kuhimili mangapi? Jisamehe ukikosea, jipe muda usipoelewa.