Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Ritz,
Basi nimeufunga mjadala na yeye.
Ahsante kwa ushauri.
Basi nimeufunga mjadala na yeye.
Ahsante kwa ushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani hata kama unaelewa tunachokijadili. unaijuaje hiyo historia bila kupitia taratibu zinazofahamika?Ahaaa....nyie msio copy mnabuni vyenu?Historia huwa haibuniwi...Ni maelezo ya kitu kilichotokea.Naona umejisahau unathibitisha.Akili za njiwa haziwezi jisitiri zinapohamishwa ktk fikra mbalimbalia haraka sana.Ndio maana mnapwaya hamjui mmepwaya wapi.Endeleeni buni hadhithi zenu
Ritz,
Basi nimeufunga mjadala na yeye.
Ahsante kwa ushauri.
Sheikh Mohamed Said.
Nakuomba kwa hisani yako huyu Yericko siyo saizi yako kufanya naye minakasha kama hii ya historia ya Tanganyika.
Uamuzi murua. Ni vigumu kujadili na mtu mwenye mithili ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa.Ritz,
Basi nimeufunga mjadala na yeye.
Ahsante kwa ushauri.
Uongo wako uishie misikitini na viunga vya kariakoo tu,
Nje ya japo utakosolewa na kufunzwa hata kama hutaki.
Wewe punguani hauna unalojua tapeli tu.Umekuja kumuokoa mzee wako, hahaaa
Wewe punguani hauna unalojua tapeli tu.
Umeongeza picha katika majibu yako kwa hoja yangu, hivyo ukabadili maana ya jibu na hoja nzima
Makubwa,Yeriko anamfundisha Mohamed historia! Mtu anayetoa mihadhara vyuo vikuu na mchekeshaji wa JF,wapi na wapi? Kashindwa hoja anatumia karata ya udini kupata sympathy,-pathetic
Uongo wako uishie misikitini na viunga vya kariakoo tu,
Nje ya japo utakosolewa na kufunzwa hata kama hutaki.
We mtoto wa juzi unataka Kumfundisha Mzee al allama Mohamed Said Historia?
Hebu tueleze kiwango chako cha elimu kwanza km hukukimbia jumla.
Huna moja wala 11 unapayuka ovyo km Kingwendu.
Haya ndio matatizo ya Kijana wa kiume kufanana na mama yake mzazi, tabia pia zinakuwa za Kike siku zote.
Bill Cosby,
Katika Wazungu ambao mimi nilikutananao na wakaacha kumbukumbu kubwa
katika akili yangu ni huyu Jim Bailey na Peter Colmore.
Ajabu kubwa ya Allah ni kuwa hawa wote walikuwa matajiri kufru na wote
walitajirishwa na Waafrika wakati wa miaka 1950 siku za ukoloni.
Bailey yeye alitajirishwa na Waafrika wa Afrika Kusini na Colmore na Waafrika
wa Kenya.
Bailey alitajirishwa na gazeti la Drum likiuzwa nchi zote za Afrika Kiingereza
kilipozungumzwa - Ghana, Nigeria, Liberia, Sierra Leone na kwengineko na
Colmore alitajirishwa na radio na muziki wa Waafrika wa Kenya.
Wazungu wote hawa wawili wakiwapenda sana Waafrika kama ndugu zao.
Hawa watu mimi wasingenijua sama na baba yangu marehemu Ally Sykes.
Iko siku nitaweka historia za Wazungu hawa hapa barzani In Sha Allah.
Wanamajlis,
Ngoja nikuelezeni kitu.
Hizo picha mbili za Nyerere akiwa Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam 1955
zinatoka Bailey's African Photo Archives, Johannesburg.
Picha hizo zimo kwenye kitabu: "Tanzania The Story of Julius Nyerere."
Mimi nilikutana na Jim Bailey mwaka wa 1994 Dar es Salaam ofisini kwa Ally
Sykes na yeye ndiye aliyetutambulisha.
Jim Bailey alikuwa anatoka South Africa.
Bailey alikuwa anatafuta mtu wa kuhariri mswada wa hicho kitabu cha Nyerere
na Ally Sykes ndiye akanipendekeza mimi.
Kazi hii niliifanya na kitabu kikachapwa baina ya Drum na Tanzania Publishing
House (TPH).
Mimi ndiye niliyemjulisha Jim Bailey kwa Walter Bgoya Mkurugenzi Mkuu wa TPH.
Kitabu kilipokuwa tayari Bgoya alimpeleka Bailey Msasani kwa Nyerere kwenda
kumkabdihi kitabu kile na picha yao ilitoka ukurasa wa mbele wa Daily News.
Hii ilikuwa mwaka wa 1995.
Bailey ndiye aliekuwa anamiliki gazeti hilo la Drum.
Sasa mimi hizo picha nazijua vizuri pamoja na "caption" zake zote.
Picha hizo zilipigwa mwaka wa 1955 safari ya kwanza ya Nyerere UNO.
Wanamajlis,
Hebu someni maneno haya ya huyu ndugu yetu anayoniambia mie:
"Uongo wako uishie misikitini na viunga vya kariakoo tu,
Nje ya japo utakosolewa na kufunzwa hata kama hutaki."
Sasa hebu semeni.
Kati yetu nani muongo na nani anapewa darsa?
![]()
Hii ni "photocopy" ya muswada alonikabidhi Jim Bailey na ipo katika
maktaba yangu pamoja na hati zangu nilizokuwa nafanyia uhariri.
Yapo mengi ikiwa hamchoki kunisoma.
Mkuu samahan natoka nje ya uzi wako, Naomba majibu juu Ben ni kwel kaenda ACT au bla bla tu?
kupanua mjadala ni vema pia tukasoma kitabu cha Godfrey Mwakikagile
Nyerere and Africa: End of an Era
katika kitabu hichi pages 82 - 100Godfrey anatambua siasa za Kariakoo , na katika moja ya maandishi yake anaandika hivi kuhusu Bibi Titi , Nyerere na Uhuru struggle..
Alsmost always , the rallies at Mnazi mmoja were addresed by two main speakers : Bibi Titi and Nyerere, both highly inspirational speakers, some of the best the party (TANU) ever had.
It was because of such role inspired her to say Nyerere and I gave birth to TANU .SHE WAS BEFORE AND AFTER HER death , honoured with the title Heroine of Tanganyikas Independence.
Also Godfrey speak highly of Sheikh Takadir, mwenyekiti wa Wazee waTANU ambaye mara zote akitangulia kuongea kabla ya Nyerere
Pia mwandishi anaeleza juu ya uvaaji kaptura ya mwalimu na ni Dossa Aziz ndie alimwambia Nyerere kuwa si heshima kwa wazee wanaomzunguka wa kariakoo kuvaa kibukta na sio taratibu za waislam wenyeji wake hapo kariakoo .eneo la kujidai la brother Mohammed Said
Kuna mengi yameandikwa kuhusu TANU ambayo kwa karibu yanafana na historia inayo elezwa na Mohammed Said katika mijadala yake.
Mwandishi ni mhariri wa zamani wa magazeti ya serikali , na rafiki wa Benjamin Mkapa
Mwakigagile katika kitabu hicho moja ya vitabu nilivyovisoma, ukimsoma jws undani utaona utofauti mkubwa wa historia ya TANU na ile ya Mohamed Said.
Mwakigagile hajaweke uislamu kama turufu ya uhuru kama afanyavyo Mohamed na wala hajaifanya historia ya Tanganyika kuanzi Kariakoo na kuishia kariakoo. Alichofanya ni kutambua mchango wa wazee wale tu, sio kuteka historia
Hata iwe vipi ameongea kuhusu role ya waislam na pia ni historia tofauti na ile mulozea mashule ilotungwa kivukoni na ambayo tunalazimishwa kuikubali.
Waandishi wote wawili wanaongea kuhusu tanu na role ya kariakoo ingawa kwenye uwanda tofauti