Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.

Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.

 
Safi salome anamtekenya lazima acheke.
 
Huyu mama daimond nae inaonyesha usichana wake hakutulia kabisa ndio maana mzee nasibu alikataa mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…