Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

Sasa kwenye hii video, hapo mama Diamond ni yupi?
 
Mbona mswahili tu mama anadamu kalii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mama Diamond+Mama Wema Sepetu wote ni wale wale wa uwanja wa fisi tofauti wamezidiana maarifa tu
 
mwarabu huyu au?
k.jpg
 
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.

Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.

Hamna mwarabu hapa, kelele na shauzi tu za kitandale na ushamba wa kupata pesa ukubwani.
 
Sasa sisi inatuhusu nini

Tupo kwenye kusheherekea bombadia zetu mapanga shaaa
Bombadia mapanga shaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana leo.
 
Huyu mbona anajulikana ni mmoja Kati ya wafuasi wa Wema?!
 
Mama Diamond+Mama Wema Sepetu wote ni wale wale wa uwanja wa fisi tofauti wamezidiana maarifa tu
Huu ujumbe wako ungenoga sana kama ungeambatisha na ile clip ya Dk Remi akiimba 'ni wale wale' kabla ya pale aliposema 'Wema........'
 
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.

Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.

Huyu ni mtamu kinoma,

Ila kwa kweli mama yake diamond platnumz ni malaya kutisha ndio maana waliachana na baba diamond, halafu ana mpenzi anaitwa salim.

Kwa hali hii na haki yake diamond kuwa kicheche, yani ni tabia za mama yake fulu.
 
Back
Top Bottom