Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa sisi inatuhusu nini
Tupo kwenye kusheherekea bombadia zetu mapanga shaaa
Nilijua mwarabu yule bodyguard, any way Diamond ukimuangalia vizuri anafanan na waarabu
Alikuwa hachezi mbali na ushirika club na mboweHuyu mama daimond nae inaonyesha usichana wake hakutulia kabisa ndio maana mzee nasibu alikataa mimba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa sisi inatuhusu nini
Tupo kwenye kusheherekea bombadia zetu mapanga shaaa
Misijahelewa kusudi LA makalio ni mini ebu tusaidiane kuchambuaMimi nimeona makalio yanarushwa rushwa
Mkuu acha kuwakosehe heshima wazazi wa wenzako sio poa kabisa!Mama Diamond+Mama Wema Sepetu wote ni wale wale wa uwanja wa fisi tofauti wamezidiana maarifa tu
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
Bombadia mapanga shaaaaSasa sisi inatuhusu nini
Tupo kwenye kusheherekea bombadia zetu mapanga shaaa
Huu ujumbe wako ungenoga sana kama ungeambatisha na ile clip ya Dk Remi akiimba 'ni wale wale' kabla ya pale aliposema 'Wema........'Mama Diamond+Mama Wema Sepetu wote ni wale wale wa uwanja wa fisi tofauti wamezidiana maarifa tu
Acheni kumdhalilisha mama wa watu!
Azae na mhindi,mjerumani ni yy!
Muacheni jamani!!!
Huyu ni mtamu kinoma,Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.