Siri ya mapera DSM!

Siri ya mapera DSM!

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Jamani matunda aina ya mapera yanapatikana wapi hapa DSM?
 
Unapoulizia mapera (guava) hivi umuandaa andaaje ...."mnduku" wako kukabiliana na uharibifu (mikwaruzo kwaruzo) utaojitokeza kwani yana shughuli pevu pindi utapoyapata na kuyala hasa yale ya kiafika na sio ya kizungu .
ukijibu kwa usahihi utaelekezwa pa kuyapata.
 
Ntakunywa maji mengi.Unapoulizia mapera (guava) hivi umuandaa andaaje ...."mnduku" wako kukabiliana na uharibifu (mikwaruzo kwaruzo) utaojitokeza kwani yana shughuli pevu pindi utapoyapata na kuyala hasa yale ya kiafika na sio ya kizungu .
ukijibu kwa usahihi utaelekezwa pa kuyapata.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom