Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
unashangaa pipi!!! kuna nzi pia😂Jamani jamani ndiyo maana tunapata magonjwa ya ajabu ajabu! Pipi na sehemu za siri kweli🤔 afu kukata shombo vipi wakati ile ndiyo natural smell bana! Nuseni natural smells mbona nzuri sana.