young_stunner
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 374
- 551
Kumbe mange naye ana watu wanamuita roke modalTafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!
Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubaliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!
Vizuri Sana, umeleta uchambuzi nzuri Sana.Hii thread imenikumbusha story mbili tofauti lakini zinazofanana,
1) Ya kwanza ni ya Diamond Platnmuz vs Bob Junior.
Hapo mwanzo Bob Junior alikua juu kiumaarufu, kimuziki na kifedha kuzidi Diamond. Hii ni kwa sababu Bob Junior alikua Producer mkali that time pia muimbaji. So kote kote anaingiza mkwanja ukichukulia pia kimuziki alikua Juu. Diamond that timealikua muimbaji underground tu but chini ya lebo ya Bob Junior, Sharobaro.
Sasa basi Bob Junior akawa anajiita Rais wa Masharobaro, na Diamond kwa kutaka kukuza jina akawa anajiita Makamu Rais wa Sharobaro na akaitangaza sana although hakumshirikisha Bob Junior. Baadae Bob Junior akaja akamaind akamtimua Diamond kwenye lebo yake na kujitangaza yeye Bob Junior ndio mmiliki pekee wa Sharobaro na hana makamu wake. Ikabidi kinyonge Diamond aunde lebo ingine ya Wasafi
Leo hii Diamond ni mkubwa kimuziki, kiumaarufu na kifedha kuliko Bob Junior ambae sina uhakika kama Sharobaro Records bado iko hai.
2) Ya pili inahusu Abubakar Sadik (a.k.a Kwa Fujo) v/s Dj Majay/Majizo
Clouds FM ilikua na Ma-DJ wenye majina wa kutosha tu. Alikuwepo Muli B, Steve B, Dj Venture, Ndugu yake Dj Bonny Luv hapo Kitambo, Dj Too Short, Dj Nelly etc. Hawa walikua wakijiita Nyuki DJs. Sasa basi kundi hili la Ma Djs wa Clouds lilitisha sana na hata kwenye makumbi ya starehe mengi makubwa ni hawa waliotikisa. Kwa kua hawa wote walikua Clouds basi Ma-Dj wa stations zingine walikua kama wakibaniwa hivi na hawasikiki zaidi ya vituo vyao.
Ndipo ikabidi waungane na wao na wakaanzisha Kwa Fujo Djs. Hili kundi lilishirikisha Abubakar Sadiki wa Radio One, Francis Ciza (Dj Majay/Majizo) aliekua Magic FM, kuna alietoka EA Radio nafikiri na wengineo. Sasa basi Majizo akiwa Magic FM miaka hiyo ya 2005 alitumia muda mwingi sana kuibeba Kwa Fujo Djs na hata kwenye kipindi chake kile cha Jioni alikua aki-scratch sana jingo ya Kwa Fujo Deeeeejjjjjaaays. Ilionekana kana kwamba Yeye sasa ndio anakua maarufu kuliko mwenye jina mwenye Abubakar Sadik ndani ya Kwa Fujo Djs mpaka ikafikia wakati ikabidi Abubakar Sadiki avunje kundi achukue jina lake. Hapo kinyonge ikabidi Majizo akubali matokeo.
Leo hii Majizo ni MMiliki wa Radio na yuko juu ki umaarufu, kifedha na pengine hata ki U-Dj wakati Abubakar Sadiki bado ni DJ anaesubiri mshahara tarehe 30
Aisee hivi kumbe imekuwa miaka sasa? Duh......ila kama huyo Abubakar Sadiq amepwaya sana siku hizi sijui kulizika yaani hana ubunifu mpya.....Mul B sijui yuko wapi huyu jamaa alikuwa akijiita mzee wa Pamba kali!![emoji3]Hii thread imenikumbusha story mbili tofauti lakini zinazofanana,
1) Ya kwanza ni ya Diamond Platnmuz vs Bob Junior.
Hapo mwanzo Bob Junior alikua juu kiumaarufu, kimuziki na kifedha kuzidi Diamond. Hii ni kwa sababu Bob Junior alikua Producer mkali that time pia muimbaji. So kote kote anaingiza mkwanja ukichukulia pia kimuziki alikua Juu. Diamond that timealikua muimbaji underground tu but chini ya lebo ya Bob Junior, Sharobaro.
Sasa basi Bob Junior akawa anajiita Rais wa Masharobaro, na Diamond kwa kutaka kukuza jina akawa anajiita Makamu Rais wa Sharobaro na akaitangaza sana although hakumshirikisha Bob Junior. Baadae Bob Junior akaja akamaind akamtimua Diamond kwenye lebo yake na kujitangaza yeye Bob Junior ndio mmiliki pekee wa Sharobaro na hana makamu wake. Ikabidi kinyonge Diamond aunde lebo ingine ya Wasafi
Leo hii Diamond ni mkubwa kimuziki, kiumaarufu na kifedha kuliko Bob Junior ambae sina uhakika kama Sharobaro Records bado iko hai.
2) Ya pili inahusu Abubakar Sadik (a.k.a Kwa Fujo) v/s Dj Majay/Majizo
Clouds FM ilikua na Ma-DJ wenye majina wa kutosha tu. Alikuwepo Muli B, Steve B, Dj Venture, Ndugu yake Dj Bonny Luv hapo Kitambo, Dj Too Short, Dj Nelly etc. Hawa walikua wakijiita Nyuki DJs. Sasa basi kundi hili la Ma Djs wa Clouds lilitisha sana na hata kwenye makumbi ya starehe mengi makubwa ni hawa waliotikisa. Kwa kua hawa wote walikua Clouds basi Ma-Dj wa stations zingine walikua kama wakibaniwa hivi na hawasikiki zaidi ya vituo vyao.
Ndipo ikabidi waungane na wao na wakaanzisha Kwa Fujo Djs. Hili kundi lilishirikisha Abubakar Sadiki wa Radio One, Francis Ciza (Dj Majay/Majizo) aliekua Magic FM, kuna alietoka EA Radio nafikiri na wengineo. Sasa basi Majizo akiwa Magic FM miaka hiyo ya 2005 alitumia muda mwingi sana kuibeba Kwa Fujo Djs na hata kwenye kipindi chake kile cha Jioni alikua aki-scratch sana jingo ya Kwa Fujo Deeeeejjjjjaaays. Ilionekana kana kwamba Yeye sasa ndio anakua maarufu kuliko mwenye jina mwenye Abubakar Sadik ndani ya Kwa Fujo Djs mpaka ikafikia wakati ikabidi Abubakar Sadiki avunje kundi achukue jina lake. Hapo kinyonge ikabidi Majizo akubali matokeo.
Leo hii Majizo ni MMiliki wa Radio na yuko juu ki umaarufu, kifedha na pengine hata ki U-Dj wakati Abubakar Sadiki bado ni DJ anaesubiri mshahara tarehe 30
ZZK alijaribu, kelele zikawa juu!Hivi kuna mtu anaweka wazi siri ya utajiri wake ? Kama wapo ni wachache sana
Mkuu mbona kuna la Coca cola!Acha uongo,wana tangazo moja tu la Lake oil ndio linasikika mara kwa mara. Haya matangazo ya Tigo,Voda,Airtel yanasikika mara chache sana na zaidi ya hapo hawana tangazo kutoka kampuni nyingine.
Mkuu mbona kuna la Coca cola!
Pia lipo la Total.
Lipo na la CRDB.
Mtakufa maskini sababu ya uchanga wa fikra zenu na kutoamini katika mafanikio because ignorance is your bliss uhoji utajiri wa mtu who are u after all?? Mumeo yule mpk uwe na doubt nae kuwa one day he will put you into trouble? Be positive alwaysMajee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Anajua alijipanga vipi? Maybe alikua na fund ya Ku establish both radio and TV stationMange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Na wakishindwa kwenye Unga basi wanahusisha na NdumbaAkili za Waswahili na waliofeli kimaisha...
Wakishindwa kuhusisha mafanikio yako na freemason wanahamia kwenye unga..
WTF
Na wameambiwa na mengi boss wao mwezi wa kwanza mshajara utachelewaHii thread imenikumbusha story mbili tofauti lakini zinazofanana,
1) Ya kwanza ni ya Diamond Platnmuz vs Bob Junior.
Hapo mwanzo Bob Junior alikua juu kiumaarufu, kimuziki na kifedha kuzidi Diamond. Hii ni kwa sababu Bob Junior alikua Producer mkali that time pia muimbaji. So kote kote anaingiza mkwanja ukichukulia pia kimuziki alikua Juu. Diamond that timealikua muimbaji underground tu but chini ya lebo ya Bob Junior, Sharobaro.
Sasa basi Bob Junior akawa anajiita Rais wa Masharobaro, na Diamond kwa kutaka kukuza jina akawa anajiita Makamu Rais wa Sharobaro na akaitangaza sana although hakumshirikisha Bob Junior. Baadae Bob Junior akaja akamaind akamtimua Diamond kwenye lebo yake na kujitangaza yeye Bob Junior ndio mmiliki pekee wa Sharobaro na hana makamu wake. Ikabidi kinyonge Diamond aunde lebo ingine ya Wasafi
Leo hii Diamond ni mkubwa kimuziki, kiumaarufu na kifedha kuliko Bob Junior ambae sina uhakika kama Sharobaro Records bado iko hai.
2) Ya pili inahusu Abubakar Sadik (a.k.a Kwa Fujo) v/s Dj Majay/Majizo
Clouds FM ilikua na Ma-DJ wenye majina wa kutosha tu. Alikuwepo Muli B, Steve B, Dj Venture, Ndugu yake Dj Bonny Luv hapo Kitambo, Dj Too Short, Dj Nelly etc. Hawa walikua wakijiita Nyuki DJs. Sasa basi kundi hili la Ma Djs wa Clouds lilitisha sana na hata kwenye makumbi ya starehe mengi makubwa ni hawa waliotikisa. Kwa kua hawa wote walikua Clouds basi Ma-Dj wa stations zingine walikua kama wakibaniwa hivi na hawasikiki zaidi ya vituo vyao.
Ndipo ikabidi waungane na wao na wakaanzisha Kwa Fujo Djs. Hili kundi lilishirikisha Abubakar Sadiki wa Radio One, Francis Ciza (Dj Majay/Majizo) aliekua Magic FM, kuna alietoka EA Radio nafikiri na wengineo. Sasa basi Majizo akiwa Magic FM miaka hiyo ya 2005 alitumia muda mwingi sana kuibeba Kwa Fujo Djs na hata kwenye kipindi chake kile cha Jioni alikua aki-scratch sana jingo ya Kwa Fujo Deeeeejjjjjaaays. Ilionekana kana kwamba Yeye sasa ndio anakua maarufu kuliko mwenye jina mwenye Abubakar Sadik ndani ya Kwa Fujo Djs mpaka ikafikia wakati ikabidi Abubakar Sadiki avunje kundi achukue jina lake. Hapo kinyonge ikabidi Majizo akubali matokeo.
Leo hii Majizo ni MMiliki wa Radio na yuko juu ki umaarufu, kifedha na pengine hata ki U-Dj wakati Abubakar Sadiki bado ni DJ anaesubiri mshahara tarehe 30
Mambo yasiyokuhathiri chochote hachana nayo tumia mda wako kujitadhimini, na namna ya kujiondoa katika ufukara ulionao. Hacha kuwa addict wa umbea wa mitandaoni. Yahani make kimambi ndio chanzo chako ? Idiot.Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Wakati mwenzie Majizo ndie "Mengi" wa E-Fm now, yeye ndie atakaewalipa watu mshaharaNa wameambiwa na mengi boss wao mwezi wa kwanza mshajara utachelewa