Siri ya Utajiri wa Vodacom Tanzania watajwa

Ilete mkuu. Wanyonge tupone

Usiwe na shaka, ipo inasukwa, testing imekamilika sasa hivi nadeal na mambo ya registration tu kumalizana na serikali, wakipitisha kila kitu marketing na kuisambaza nchi nzima itaanza. Hawa jamaa wamekaa hawana competition kwnye fintech wamejisahau, ngoja tulete ushindani washushe gharama.
 
Brilliant
 
Wajipange sana maana hicho chanzo chao cha mapato cha 22% nakuja kukiua, naleta huduma rahisi na nyepesi kuliko m-pesa, na yenye gharama nafuu mno, mtu utakua unahamisha milioni unalipa 500 tu sio wao wana makato ya kijinga huku tech yao yenyewe haina chochote special, ni database tu wanabadilisha namba as you move money, tena unreliable database coz inasumbua karibia kila wakati.
ukileta hcho ktu nistue niwe mwanahisa,nshawahi kufikiria sana hk ktu how comes mtu unatoa 400k mpesa halafu wanakata 7000 yaan how kvp why asee nlikosa jbu,,, nkawaza hv mtu akija na idea nyngne ya electronic money?? nkafikiria je wao voda wataruhusu u intergrate system yako kwny line zao akat na wao wanatoa hyo huduma?? i ended up hanging!!!!

but nkajiuliza tena hv serikali hailioni hili?? nkaona dzain kama kuna mkono hapaaaa
Na je ukija na hii innovation je serikali itakupa vibali (in case ina faidika na voda)
cc Graph
 
Kibali nahisi watatoa sababu ni biashara kama nyingine tu. Sihitaji integrate na voda wala mitandao mingine, itafanya kazi mitandao yote regardless wapitishe au wakatae, sihitaji ruhusa ya mitandao kuoperate, unaweza tumia simu au usitumie simu ukatumia mashine ambazo zitasambazwa nchi nzima kila kona. In short ni system rahisi zaidi kuliko hata ya mpesa, Hata mtu aliyetoka kijijini hatohitaji maelekezo. Siwezi eleza zaidi subiri kibali kikitoka utajua 100% inafanyeje kazi
 
Wajipange sana maana hicho chanzo chao cha mapato cha 22% nakuja kukiua, naleta huduma rahisi na nyepesi kuliko m-pesa, na yenye gharama nafuu mno, mtu utakua unahamisha milioni unalipa 500 tu sio wao wana makato ya kijinga huku tech yao yenyewe haina chochote special, ni database tu wanabadilisha namba as you move money, tena unreliable database coz inasumbua karibia kila wakati.
Safii
 
yan we kama vile ulikuwa akilin mwangu mzee nshawahi fikiria sana hii ktu lakn ckuwa na IT knowledge,,,,,ni pm namba yako mzee lazma tupindue meza yan hapa bongo hakuna ushindan kabisa chek posta walivo lazy,check tanesco,,,yaan daah but lets start with this one
Kibali nahisi watatoa sababu ni biashara kama nyingine tu. Sihitaji integrate na voda wala mitandao mingine, itafanya kazi mitandao yote regardless wapitishe au wakatae, sihitaji ruhusa ya mitandao kuoperate, unaweza tumia simu au usitumie simu ukatumia mashine ambazo zitasambazwa nchi nzima kila kona. In short ni system rahisi zaidi kuliko hata ya mpesa, Hata mtu aliyetoka kijijini hatohitaji maelekezo. Siwezi eleza zaidi subiri kibali kikitoka utajua 100% inafanyeje kazi
 
Kibali nahisi watatoa sababu ni biashara kama nyingine tu. Sihitaji integrate na voda wala mitandao mingine, itafanya kazi mitandao yote regardless wapitishe au wakatae, sihitaji ruhusa ya mitandao kuoperate, unaweza tumia simu au usitumie simu ukatumia mashine ambazo zitasambazwa nchi nzima kila kona. In short ni system rahisi zaidi kuliko hata ya mpesa, Hata mtu aliyetoka kijijini hatohitaji maelekezo. Siwezi eleza zaidi subiri kibali kikitoka utajua 100% inafanyeje kazi
mr Graph nimekuPM naona kmya bro
 
mr Graph nimekuPM naona kmya bro
Mkuu kukuamini kukupa namba yangu humu hapana aisee, magufuli anavyotafuta watu kwa fujo kutoa identity humu watu washanitafuta wengi inbox kutafuta namba yangu kwa njia kibao sijawahi mpa hata moja.
 
sawa,,,, ila dah siasa imetufikisha pabaya yaan hatuwez kufanya shughuli za kiuchumi kwa sababu ya watu wanaolinda maslahi yao

ila anyway am a good person sina hzo mambo, waweza tumia njia yyte kujiridhisha(hata ukisema nkutumie ID yangu ya NIDA).inaumiza kuona mtu naikosa fursa nliyokuwa naifikiria kwa mda mrefu kwa sababu ya watu/mtu fulani.
 
Back
Top Bottom