Siri ya utajiri wa......

Siri ya utajiri wa......

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Ili utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili....

Mambo yenyewe hata siyafaham ndo maana sijatajirika......[emoji13] [emoji13] Tuendelee kuangaika tu ndugu zangu hakuna namna.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unakimbilia wapi sasa nilitaka tujadili kidogo hapa au kisa unajua umeharibu ndiyo maana unakimbia?
Comrade....
Minaogopa kichapo cha nilio waingiza choo cha watoto...[emoji23] [emoji23]
 
Wewe baki bwana tulijadili hili. Sasa na uzee wako ukikutana na watoto utawaambia unakimbia nini
Agghhh........
Hawa watoto wa humu wanajidai ndevu na baba ndevu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Ushimen ile akiba yako ya viroba kwa makadirio inaisha lini?[emoji23][emoji23]
 
Mkuu...
Kama wewe hautunza akiba, utajibeba...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Niliweka akiba ila iliisha mapema si unajua wadau tupo wengi

Sasa mkuu fanya unipatie na mimi hata vitano [emoji28]
 
Ili utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili....

Mambo yenyewe hata siyafaham ndo maana sijatajirika......[emoji13] [emoji13] Tuendelee kuangaika tu ndugu zangu hakuna namna.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
haiya, haiya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom