Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,012
- 1,969
Nimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi wanaojitokeza kutangaza, lengo kuu ni kujinadi kwa jiwe ili awaaamini.