Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,012
- 1,969
Hiyo siyo sababu pekee. Kila mtu ana sababu yake. Unadhani kondoo wa Autralia ni wajinga kuvaa sufi? Unadhani kuendesha Toyota ni ujinga? Wingi una sababu.Nimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi wanaojitokeza kutangaza, lengo kuu ni kujinadi kwa jiwe ili awaaamini.
Liongo likubwa kabisa. Kilichopelekea wadau wengi kushawishika kuchukua fomu ni:Nimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi wanaojitokeza kutangaza, lengo kuu ni kujinadi kwa jiwe ili awaaamini.
Nimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi wanaojitokeza kutangaza, lengo kuu ni kujinadi kwa jiwe ili awaaamini.
wanatafuta sababu ya kuunga juhudi ya wapinzani,wakikatwa wanahamia upinzani dakika za mwishoHiyo siyo sababu pekee. Kila mtu ana sababu yake. Unadhani kondoo wa Autralia ni wajinga kuvaa sufi? Unadhani kuendesha Toyota ni ujinga? Wingi una sababu.
Kwa upande mwingine ni ishara kwamba CCM bado ina wanachama wengi wenye uwezo na niya ya kuingia Bungeni. Wote hao ni wanachama wa CCM! Vyama vingine wako wapi?
Mna kura za maoni nyinyi jinga kabsa wakati jiwe ndo mwenye last say Nani awe Nani asiweLiongo likubwa kabisa. Kilichopelekea wadau wengi kushawishika kuchukua fomu ni:
1. Mfumo wa kura za maoni kuangalia uadilifu
2. Uhitaji wa Chama Chetu cha Mapinduzi kuwa na makada wasomi na viongozi wasomi
Very said,kina Nassari awajalenga ubunge Bali teuziNimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi wanaojitokeza kutangaza, lengo kuu ni kujinadi kwa jiwe ili awaaamini.
1. Utumiaji wa Uchama dola kujipa ushindi(si Zanzibar na wala si Tanganyika)Hiyo siyo sababu pekee. Kila mtu ana sababu yake. Unadhani kondoo wa Autralia ni wajinga kuvaa sufi? Unadhani kuendesha Toyota ni ujinga? Wingi una sababu.
Kwa upande mwingine ni ishara kwamba CCM bado ina wanachama wengi wenye uwezo na niya ya kuingia Bungeni. Wote hao ni wanachama wa CCM! Vyama vingine wako wapi?