Siri ya wafanyabiashara wa Tz wanaofanikiwa ni hii

Maneno muhimu sana umeongoea. Kama wabongo tukijenga culture ya umoja (in everything) na tukiweka differences zetu pembeni tutafika mbali sana.

Big up for the great advice. Tunafunguka macho zaidi 😉
 
Hili likifanyika kwa moyo wa ukweli uzalendo na kuaminiana hakuna shida kabisa lakini wengi waliosafiri kibiashara China Japan na Dubai wana mifano lukuki ya kupigwa na wabongo wenzao
Kuna watu ukiwaangalia machoni ni kama binadamu lakini mioyoni mwao Mungu ndie ajuaye! !!nina mifano hai
 
Umesema kweli
Kuna watu wanajua kurudisha watu nyuma, acheni tu. Mtu anakupoteza focus hivi hivi unaona. As a group kwenye kutoa huo mzigo bandari hamna vibweka hutaacha ona.

Man, its easier said than done.
 
Wazo lako ni zuri...Swali langu ni kwenye kulipa ushuru TRA. Taratibu zinakuaje ? Wanacharge vp ? Haitaweza tokea katika kulipa ushuru mtu atakua amewalalia wengne dat yeye akalipa kiasi kdgo/kingi kulingana na mzigo wake. Au on this case it happens that kusafirisha na container all in all its very cheap ukilinganisha na means zingine ??
Mfano kama container lote ni nguo basi mtagawa sawa kwa tatu,lakini kama mna vitu tofauti,mtalipa kutokana na HS CODE iliokua declared.itaonesha kodi ya mtambo wa kuosha gari ni kiasi gani,kama mtu kaleta computer pia itaonesha hivyo kila mtu atalipa kodi kadiri mzigo wake ulivyokadiriwa
 
Ahsante kwa kutuelimisha. Ila i think ita work out vizuri ukiwa na team ya watu mnaofahamiana vizuri.
 
Mfano kama container lote ni nguo basi mtagawa sawa kwa tatu,lakini kama mna vitu tofauti,mtalipa kutokana na HS CODE iliokua declared.itaonesha kodi ya mtambo wa kuosha gari ni kiasi gani,kama mtu kaleta computer pia itaonesha hivyo kila mtu atalipa kodi kadiri mzigo wake ulivyokadiriwa
Shida inakuja pale mmoja anapotaka kuchakachua HS Code halafu ibume TRA wao hawajui hilo kama mme share mzigo...ni jambo zuri sana kama wote Mkiwa wamoja na bila chenga chenga
 
Back
Top Bottom