Siri ya waliofanikiwa ambayo hawataki uijue

Siri ya waliofanikiwa ambayo hawataki uijue

Nasdaq

Member
Joined
Sep 22, 2024
Posts
17
Reaction score
45
Wote tumedanganywa kwamba eti waliofanilikwa ni wavivu na wanapenda kurahisisha mambo ndo maana wamefanikiwa where ukweli ni vice versa waliofanikiwa ndo watu wanaopambana kupita kiasi

Point yangu ni nini

Put in more time than what will be required.
 
Back
Top Bottom