Siri ya Wasanii kula bata Mbalinzi Mbeya baada ya mazishi ya Masogange

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
masogange%2Bpic.jpg

Baadhi ya wasanii walioshiriki maziko ya msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ jana Aprili 23, 2018 walijivinjari maeneo kadhaa ya starehe jijini Mbeya.
Johari, Aunt Ezekiel, MC Pilipili, Belle 9, Dogo Janja ni miongoni mwa wasanii waliotembelea kiwanja cha Mwailubi Car Wash & Lounge, kilichopo Forest ya Zamani.

Belle 9 saa sita usiku aliondoka na kwenda New City Pub, eneo la Mwanjelwa.
Wasanii hao waliondoka wakiwa kwa makundi baadhi wakiendelea kujivinjari hadi usiku wa manane.

Mwanamuziki Belle 9 mchana wa Aprili 23, 2018 wakati wa mazishi alishindwa kuimba wimbo wa Masogange ambao ndiyo ulimtambulisha Agnes na kumpa jina la Masogange.

Tofauti na mchana wakati wa mazishi ambapo wasanii hao walikuwa tayari kupiga picha na mashabiki, usiku waliwagomea.

Uwepo wa wasanii hao ulikuwa neema kwa baadhi ya wamiliki wa maeneo ya kuuza vileo ambao walieleza kuwa mauzo yameongezeka.
Pasipo kutaka kutaja jina, mmiliki wa pub moja alisema, “Hii ni heshima kwetu, maana si kitu rahisi kundi kubwa la wasanii hawa maarufu nchini kuja kunywa na kufurahi hapa.”

Masogange alifariki dunia Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma jijini Dar es Salaam na alizikwa jana Aprili 23, 2018 nyumbani kwa baba yake, Utengule- Mbalizi wilayani Mbeya.

My take:

Watu wamekula bata. Nini ishara yake? Wamefurahia kifo chake au ni show ups?
 
Muachage UNAFIKI. Huyo Masogange alikuwa nani hadi maisha ya kawaida yasimame baada ya kifo chake? Alifanya kazi gani wakati wa uhai wake, alikuwa nabii? Walipokufa wasanii wenzake hakula bata na akafunga na kusali siku 40 hadi leo wenzake wasile bata baada ya kifo chake, imeandikwa wapi?
 
View attachment 755157

Baadhi ya wasanii walioshiriki maziko ya msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ jana Aprili 23, 2018 walijivinjari maeneo kadhaa ya starehe jijini Mbeya.
Johari, Aunt Ezekiel, MC Pilipili, Belle 9, Dogo Janja ni miongoni mwa wasanii waliotembelea kiwanja cha Mwailubi Car Wash & Lounge, kilichopo Forest ya Zamani.

Belle 9 saa sita usiku aliondoka na kwenda New City Pub, eneo la Mwanjelwa.
Wasanii hao waliondoka wakiwa kwa makundi baadhi wakiendelea kujivinjari hadi usiku wa manane.

Mwanamuziki Belle 9 mchana wa Aprili 23, 2018 wakati wa mazishi alishindwa kuimba wimbo wa Masogange ambao ndiyo ulimtambulisha Agnes na kumpa jina la Masogange.
Tofauti na mchana wakati wa mazishi ambapo wasanii hao walikuwa tayari kupiga picha na mashabiki, usiku waliwagomea.

Uwepo wa wasanii hao ulikuwa neema kwa baadhi ya wamiliki wa maeneo ya kuuza vileo ambao walieleza kuwa mauzo yameongezeka.
Pasipo kutaka kutaja jina, mmiliki wa pub moja alisema, “Hii ni heshima kwetu, maana si kitu rahisi kundi kubwa la wasanii hawa maarufu nchini kuja kunywa na kufurahi hapa.”

Masogange alifariki dunia Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma jijini Dar es Salaam na alizikwa jana Aprili 23, 2018 nyumbani kwa baba yake, Utengule- Mbalizi wilayani Mbeya.

My take:

Watu wamekula bata. Nini ishara yake? Wamefurahia kifo chake au ni show ups?
Hata ukifa wewe au mimi watu watakula bata dakik10 baada ya kukufukia shimoni
 
Maisha mengine lazima yaendelee, si tatizo as long as marehemu kashazikwa
 
Msiba umeisha na marehemu ameshazikwa kwa heshima zote........maisha mengine yanaendelea.
 
Mie nikahisi unataka kutoa siri hizo. kumbe we mwenyewe nawe unakuja na maswali kwetu.
 
Huku kaskazini tushazoeaga hayo mambo,hakunaga tofauti ya mazishi na harusi!
 
Hata ukifa wewe au mimi watu watakula bata dakik10 baada ya kukufukia shimoni
Dakika 10? Watu wanapiga menu kabla marehemu hajarestishwa, then wakianza/wakienda kuzika ndio huzuni inaibuliwa upya.
 
Back
Top Bottom