Siri ya Wasanii kula bata Mbalinzi Mbeya baada ya mazishi ya Masogange

Siri ya Wasanii kula bata Mbalinzi Mbeya baada ya mazishi ya Masogange

Mi nkajua unatoa siri kumbe na wew umekuja kuuliza........aragnjtgdamjgj!!!
 
umbea tu,hakuna tatizo lolote apo,waache kujifariji kwa kipi haswa?maisha yenyewe mafupi kila mtu hajui tarehe yake
 
Hata Daudi alipofiwa na mwanae alioga akapendeza na kufirahi... Wasomaji wa Bible wataniunga mkono
 
Daima mwenye uchungu huwa ni mfiwa pekee
 
Kwani ulitaka wafanyaje zaidi ya kuendelea na maisha yao? Huyo kafa na maisha yanaendelea
 
Inaitwa mbalizi siyo "mbalinzi"

Hata hivyo umesema mbalizi unaandika habari za forest mpya sijui ya zamani hayo ni maeneo tofauti
 
View attachment 755157

Baadhi ya wasanii walioshiriki maziko ya msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ jana Aprili 23, 2018 walijivinjari maeneo kadhaa ya starehe jijini Mbeya.
Johari, Aunt Ezekiel, MC Pilipili, Belle 9, Dogo Janja ni miongoni mwa wasanii waliotembelea kiwanja cha Mwailubi Car Wash & Lounge, kilichopo Forest ya Zamani.

Belle 9 saa sita usiku aliondoka na kwenda New City Pub, eneo la Mwanjelwa.
Wasanii hao waliondoka wakiwa kwa makundi baadhi wakiendelea kujivinjari hadi usiku wa manane.

Mwanamuziki Belle 9 mchana wa Aprili 23, 2018 wakati wa mazishi alishindwa kuimba wimbo wa Masogange ambao ndiyo ulimtambulisha Agnes na kumpa jina la Masogange.

Tofauti na mchana wakati wa mazishi ambapo wasanii hao walikuwa tayari kupiga picha na mashabiki, usiku waliwagomea.

Uwepo wa wasanii hao ulikuwa neema kwa baadhi ya wamiliki wa maeneo ya kuuza vileo ambao walieleza kuwa mauzo yameongezeka.
Pasipo kutaka kutaja jina, mmiliki wa pub moja alisema, “Hii ni heshima kwetu, maana si kitu rahisi kundi kubwa la wasanii hawa maarufu nchini kuja kunywa na kufurahi hapa.”

Masogange alifariki dunia Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma jijini Dar es Salaam na alizikwa jana Aprili 23, 2018 nyumbani kwa baba yake, Utengule- Mbalizi wilayani Mbeya.

My take:

Watu wamekula bata. Nini ishara yake? Wamefurahia kifo chake au ni show ups?

Siamini kwamba sasa hivi ' Mchwa ' waliopo Udongoni Kaburini wanaanza kuzitafuna na kuzinyofoa taratibu hizo ' Hips ' pichani. Yaani hata Picha zake tu zinatosha kupigia ' Punyeto ' kama Demu wako / Mkeo akikuzingua kukupa ' Mbunye '.
 
Hilo linatakiwa liwe funzo kwako wewe na mimi kuwa kwenye kaburi hakuna "kampani", ni juu yako kujiandalia maisha yako mwenyewe ya kaburini.
 
Masogange kashadondoka zake na amezikwa tayari ulitaka watu wagalegale pale kaburini usiku kucha?hata ukifa wewe tukishusha kile kifusi basi ujue maisha yanaendelea kama kawaida yaani tusinywe bia kisa umekufa.
 
Mbna sisi Wajaluo tunacheza mziki Hata Kama hatujazika marehemu
 
Siamini kwamba sasa hivi ' Mchwa ' waliopo Udongoni Kaburini wanaanza kuzitafuna na kuzinyofoa taratibu hizo ' Hips ' pichani. Yaani hata Picha zake tu zinatosha kupigia ' Punyeto ' kama Demu wako / Mkeo akikuzingua kukupa ' Mbunye '.
Sio kila eneo lina mchwa, baadhi ya maeneo wale wadudu hawaishi. Isitoshe kaburi limesakafiwa.
 
Back
Top Bottom