Siri yafichuka wachezaji wa Yanga wamemchoka Zahera Mwinyi

Siri yafichuka wachezaji wa Yanga wamemchoka Zahera Mwinyi

Hivi ile Tshirt yake ya Polo ni moja au anazo nyingi!? Huwa anaongea akionyesha ana uwezo wa pesa sasa kwanini hatungui pamba wakati maduka yamejaa tele.
Ile kununua Paris havai midosho
 
Mikia zidini kuomba uchaguzi usifanyike Yanga ili kuwapata viongozi wapya,maana huu uchaguzi ukifanyika salama Wananchi tutakuja na backup ya ajabu sana
 
Kama nikweli nawasihi wachezaji wasi mgomee kocha, Yanga ina historia ya kutimua wachezaji mastaa bila kupepesa macho, Mwaka 1976 Mastaa walifukuzwa Yanga, Mwaka 95 walifukuzwa Nyota wote , wakina Godwin aswile, Mohammed husen, Said Mwamba n.kwakaenda Simba. Walikua nyota kwelikweli awa wasasa hawafikii ata nusu ya uwezo wakikosi cha 1995 Lunyamila alikwenda Malindi ya Zanzibar.Wakapabdishwa wakina Maalim Salehe, Silvatus lbrahim, Nonda Shaban , Anur Awadh n.k . Nawaomba wachezaji wasasa wasijaribu kugoma, Yanga wakisha amua jambo huwa hawarudi Nyuma. Watafukuzwa wote na Wataanza mmoja.
Km wanahiyo jeuri wawatimue wote tuone
 
Zahera atakuwa wa kwanza kuondoka, we ngoja uone tu
 
Nidhamu ya Mpira wachezaji wa Tanzania hawana na ndiyo sababu hawapati mafanikio . Namuunga mkono Zahera 100% anavyosimamia nidhamu. Canavaro sawa ameichezea Yanga kwa mafanikio lakini kwanini Aruhusu wachezaji usiku kutoka kambini kwenye maandalizi ya mechi muhimu bila kumtaarifu Kocha haya mambo ni ya kibongobongo tu nchi nyingine hakuna. Na viongozi wa Yanga wakiingia kwenye mtego waliowekewa wa kumuona zahera ni mbaya na kumfukuza hawatapata Kocha mzuri kama zahera. Zahera ni Kocha msaidizi wa DRC ambayo ni timu kubwa Afrika kwa viwango na historia. Hizi timu zetu za afrika hasa Tanzania zinatakiwa zifundishwe na mwafrika mwenzetu mkali anaevumilia mambo ya ubabaishaji wa kiafrika na mkali wa kuzingatia nidhamu. Wanachama wa Yanga wengine ni Mamluki wa kulinda maslahi yao na ya waliowatuma . Ikiwezekana fukuza wachezaji wote na canavaro wakaunde pan african nyingine. Canavaro alipaswa kuomba msamaha yaishe sio kuleta vurugu
Nidhamu gani watu wanakufa kwa njaa?
 
Back
Top Bottom