The_Analyst
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 241
- 86
soma vizuri uzi...kila familia ina mapungufu na madhaifu yao hivyo si kwamba ni siri ila ni mapungufu hivyo hawawezi kujisifu kwa mapungufu kam sehemu ya siri
At least umetumegea japo siri hiyo. Kuhusu kutajwa, siri zawezatajwa ukizingatia hapa JF tunajuana kwa avatars tu, so it's not a big deal.Zikitajwa sio siri tena! Sio lazima kila familia iwe na siri ila katika siri chache zilizo gundulika nakumbuka kuna rafiki yangu alilelewa na mama yake, wazazi waliachana baada ya mama kugundua kua mume wake ana nyumba ndogo, alafu huko huko alifanya mapenzi pia na watoto wawili wa huyo mama (ambao sio watoto wake mume). basi mama akawa na wasi wasi jamaa anaweza kuja kulala na wanae
Mkuu, hiyo siri imetoka tayari kwa hiyo sio siri tena, ni udaku tu. alafu kuhusu kujuana kwa avatar tu, Sio kweli. Binafsi nina wajua watu wengi tu humu, na wengi wananijua pia...At least umetumegea japo siri hiyo. Kuhusu kutajwa, siri zawezatajwa ukizingatia hapa JF tunajuana kwa avatars tu, so it's not a big deal.Thanks
Lol @ shangazi kusutwa kwa umbea.
Boss ushawahi kushuhudia mtu akisutwa uswazi?
Hivi Boss ulisomaga twishen kwa Ndossi?
ha haaaa yes but miezi michache saana...
Ndosi mwehu yule...lol
niliona mtu anacharazwa bakora kwa kutafuna big g
eti unatafuna kama mse***......huku anacharazwa
ukisoma twisheni kwa ndosi lazima uwe sharp hivi ..
kuzubaa mwiko...lol we ulisoma nini?
Lol @ shangazi kusutwa kwa umbea.
Boss ushawahi kushuhudia mtu akisutwa uswazi?
Oh yeah..nilipitia hapo lakini siku last...mambo ya bakora twisheni niliona kaa myeyusho flani hivi. Nikasepa.
hivi unajua lifestyle ya uswazi
mara mtu anasutwa mara ugomvi
inaondoa sana magonjwa kama ya upweke na depression?
uswazi watu hawapati sana depression ,sababu wana
burudani za bure kila siku lol
Uswazi is never boring.
Kuna siku moja bana nilikuwa pande za Buguruni. Mara akatokea mdada mmoja akaanza kucheza kiduku katikati ya barabara. Punde si punde njemba mbili zikaungana naye. Yaani acha tu...nilicheka kinoma. Ila sidhani kama walikuwa wazima wale. Nahisi walikuwa under the influence ya mhadarati.
basi raha zaidi uchukue 'mdada' wa uswazi
uone vurugu zake.....umewahi?
kwanza atakuuliza simu yako ina vocha..
halafu ukimpa ataanza kuwapigia 'mashosti' wake woote
na shangazi na mjomba hadi basi....utasema anasafiri lol