Siri za Familia ama Ukoo!

Siri za Familia ama Ukoo!

Zikitajwa sio siri tena! Sio lazima kila familia iwe na siri ila katika siri chache zilizo gundulika nakumbuka kuna rafiki yangu alilelewa na mama yake, wazazi waliachana baada ya mama kugundua kua mume wake ana nyumba ndogo, alafu huko huko alifanya mapenzi pia na watoto wawili wa huyo mama (ambao sio watoto wake mume). basi mama akawa na wasi wasi jamaa anaweza kuja kulala na wanae
 
At least umetumegea japo siri hiyo. Kuhusu kutajwa, siri zawezatajwa ukizingatia hapa JF tunajuana kwa avatars tu, so it's not a big deal.
Thanks
 
At least umetumegea japo siri hiyo. Kuhusu kutajwa, siri zawezatajwa ukizingatia hapa JF tunajuana kwa avatars tu, so it's not a big deal.Thanks
Mkuu, hiyo siri imetoka tayari kwa hiyo sio siri tena, ni udaku tu. alafu kuhusu kujuana kwa avatar tu, Sio kweli. Binafsi nina wajua watu wengi tu humu, na wengi wananijua pia...
 
kuna siri iliyo wazi.....
kama za baba halisi wa mtoto fulani...
mama alizaa bado mwanafunzi...
kuzaliwa nje ya ndoa....
babu mwanga...
bibi mchawi..
mjomba jambazi
shangazi amewahi kusutwa kwa umbea...
na kadhalika....sio siri ila ni vitu mpaka uelezwe na watu wa karibu since watu
huwa na tabia za kuhamia mbali na makwao...
 
Lol @ shangazi kusutwa kwa umbea.

Boss ushawahi kushuhudia mtu akisutwa uswazi?
 
kaka umesema siri mm ninajua ni mapungufu na ukitaka kujua mapungufu hayo kama huwa yanalisishana basi wawezakuta hata wewe umelithishwa kutoka kwa ukoo wako hvyo ndo mana wazee wazaman wanasema kila ukoo unamatatzo yake kwahyo sio lazma ujue
 
Lol @ shangazi kusutwa kwa umbea.

Boss ushawahi kushuhudia mtu akisutwa uswazi?

sio uswazi hata mashuleni yapo
mvulana ukiwa mbeya halafu wasichana wakuweke kati lol
umenikumbusha shuleni nilisoma na msichana anaitwa Mwanauani..dah
unaweza kuwa umezubaa hivi mara kundi la wasichana hiloo lol
wamemzunguka mtu wanamsuta....yaani.....
siku hizi uswazi wanasuta kwa matarumbeta na ngoma...
kama ni mwanaume wanakuletea na vipedo na blauzi wanakuvalisha lol na wapiga picha juu
pata picha....lol
 
Hivi Boss ulisomaga twishen kwa Ndossi?

ha haaaa yes but miezi michache saana...
Ndosi mwehu yule...lol
niliona mtu anacharazwa bakora kwa kutafuna big g
eti unatafuna kama mse***......huku anacharazwa

ukisoma twisheni kwa ndosi lazima uwe sharp hivi ..
kuzubaa mwiko...lol we ulisoma nini?
 
Oh yeah..nilipitia hapo lakini siku last...mambo ya bakora twisheni niliona kaa myeyusho flani hivi. Nikasepa.
 
Tandale tunakodi matarumbeta siku hizi
raha kweli, full shughuli
ukizubaa na pilau linaliwa

ila usiombe weye ndo uwe unasutwa?!

Lol @ shangazi kusutwa kwa umbea.

Boss ushawahi kushuhudia mtu akisutwa uswazi?
 
Oh yeah..nilipitia hapo lakini siku last...mambo ya bakora twisheni niliona kaa myeyusho flani hivi. Nikasepa.

hivi unajua lifestyle ya uswazi
mara mtu anasutwa mara ugomvi
inaondoa sana magonjwa kama ya upweke na depression?
uswazi watu hawapati sana depression ,sababu wana
burudani za bure kila siku lol
 
hivi unajua lifestyle ya uswazi
mara mtu anasutwa mara ugomvi
inaondoa sana magonjwa kama ya upweke na depression?
uswazi watu hawapati sana depression ,sababu wana
burudani za bure kila siku lol

Uswazi is never boring.

Kuna siku moja bana nilikuwa pande za Buguruni. Mara akatokea mdada mmoja akaanza kucheza kiduku katikati ya barabara. Punde si punde njemba mbili zikaungana naye. Yaani acha tu...nilicheka kinoma. Ila sidhani kama walikuwa wazima wale. Nahisi walikuwa under the influence ya mhadarati.
 
basi raha zaidi uchukue 'mdada' wa uswazi
uone vurugu zake.....umewahi?
kwanza atakuuliza simu yako ina vocha..
halafu ukimpa ataanza kuwapigia 'mashosti' wake woote
na shangazi na mjomba hadi basi....utasema anasafiri lol
 
Ahahahahaa Boss bana daah! We acha tu...uswazi kuna raha sana.
 
Back
Top Bottom