Siri za mafanikio kwa kijana

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Wakuu habari zenu,poleni na majukumu ya kulijenga taifa ,kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni kikubwa kuto kukata tamaa lengo la bandiko ili Ni kuwasaidia vijana mawazo mbalimbali yatayo wasaidia kupata kipato,je Ni biashara gani harari kijana alipo chuo au anayetarajia kuwenda chuo
akifanya anaweza kupata kipato na kumsaidia katika maisha.Asante karibuni kwa maoni
 
Yaani hata kuandika Kiswahili hatuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…