Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Wakuu habari zenu,poleni na majukumu ya kulijenga taifa ,kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni kikubwa kuto kukata tamaa lengo la bandiko ili Ni kuwasaidia vijana mawazo mbalimbali yatayo wasaidia kupata kipato,je Ni biashara gani harari kijana alipo chuo au anayetarajia kuwenda chuo
akifanya anaweza kupata kipato na kumsaidia katika maisha.Asante karibuni kwa maoni
akifanya anaweza kupata kipato na kumsaidia katika maisha.Asante karibuni kwa maoni