Siri za utajiri ambazo hamna mtu anayeweza kukwambia

Biblia sehemu kubwa ni mafumbo, kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo wa Yohana. Ndio maana hata Yesu alipokuja Wayahudi hawakumtambua sababu hawakuyaelewa mafumbo yaliyokuwemo kwenye agano la kale yaliyobeba unabii wa Yesu
 
Rakims hebu sema kitu, maana nasikia na wewe kilingeni kwako pale Ilala watu wanafurika uwatajirishe
Jifunze kuheshimu wengine na wewe utaheshimiwa...
  1. Hicho kilinge ulinifungulia wewe?
  2. Hao watu uliwapeleka wewe huko Ilala?
  3. Huo utajiri ulinipa wewe wa kuwagawia watu wengine?
  4. Huo uchawi wa kufanya hayo ulinipa wewe?
Ifikie sehemu kuna baadhi ya Members muwe mnaacha kutag wengine vitu vya kipumbavu sijawahi kumchokonoa mtu humu wala sijawahi kumkashifu mtu.. Ukinitag nitag kwa heshima kwa maana naheshimu Members wote humu bila kujali umri wala jinsia kasoro wapumbavu... Hivyo usisababisha nikakupa namba ya Mpumbavu mwingine.....
Do your things Be yourself give respect to all, For it has a way to be back to you...
Si kila member yupo humu ajili ya Upumbavu.
Ndio maana kuna forums options za kila aina hivyo tuheshimiane

Rakims
 
Hizi
mambo ni assumption tu..
Ni wenye iman hizi ndio masikini kwelikweli africa na asia.. huko europe na america the more you work hard the more u earned..na wakija hapa kwetu kutalii tunawaona wote ni matajiri...

Siri ya utajiri ni nidhamu ya fedha + fanya kazi kwa bidii/kazi kwa maarifa hizo nyingine ni viini macho tu..
 
Ki bongo bongo utajiri mkubwamkubwa una vyanzo vifuatavyo
1. Utajiri toka kwenye ufisadi
2. Utajiri toka kwenye mishe haramu
3. Utajiri toka kwenye connection za serikalini hasa tenda/zabuni
Umemaliza kila kitu.
 
Utapeli wako wa kitoto sana, ila si ajabu kuna wajinga utawakamata!
 
Mkuu wa matajiri njoo tuwasaidie chochote kitu watoto waishio na virusi vya UKIMWI huku vijijini .
 
Huwa nafurahi kuona unavyopovuka. Nikutakie swaumu njema
 
Hahaaaaa...hii wiki ya pasaka mpaka iishe itakuwa na mambo na vioja. Imekaa ki vayolensi sana hii wiki.
 
Wakuu msimshambulie mleta mada, kila mmoja ana uhuru wa kuabudu kwa namna anavyo amini. The end justifies the means.

Alafu sidhani kama kuna ubaya wa mtu kutengeneza madhabau ya mungu wake.
 
Wakuu msimshambulie mleta mada, kila mmoja ana uhuru wa kuabudu kwa namna anavyo amini. The end justifies the means.

Alafu sidhani kama kuna ubaya wa mtu kutengeneza madhabau ya mungu wake.
Hao aliowatag ndo wamezinguka

Mie nabakia kucheka kwa sababu mtoa mada kumbe mchawi
 
Siri imefichuka mwana JF ukifa fukara ni mapenzi yako tu
 
Mkuu wa matajiri njoo tuwasaidie chochote kitu watoto waishio na virusi vya UKIMWI huku vijijini .
Je agano lake ni kusaidia wahanga wa ukimwi? Hebu tusome na kuelewa
 
Vip kwa wale wasiokua na Imani popote wanaamini tu kwenye kufanya kazi kwa bidiii tu mbona tunaona wanafanikiwa tu licha ya kutotumia madhabahu yoyote
 
Kuna utajiri kutoka kanisani kweli? Kabla ya kujibu nukuu Bible wakati shetani alipompandisha Yesu mlimani alimwambia nini!!
 
Mkuu Umetisha Sana kwa kweli dah😂
Unakuta kamtu kana hela nyingi kila siku saa tatu kanaenda ku deposit ila afya imekongorokaaa kumbe kanalazwa sakafuni mbavu zimesha ota sugu kiuno hakinasi vyema suriali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…