Siri za utajiri (secrets of the rich)

Siri za utajiri (secrets of the rich)

Joined
Aug 3, 2018
Posts
19
Reaction score
16
2. USIZITUMIKIE PESA(don't work for money).

hii ndio siri namba mbili baada ya kuangalia ile namba moja na mkubwa kuliko zote.kunawatu wanaamini kuwa wakijibidisha na kujitesa kwakufanya kazi sana maofisini (kuajiriwa) basi watajipatia utajiri mkubwa kitu ambacho si sahihi badala yake wanaendelea kupungukiwa zaidi na kujikuta wanapoteza mda wao kuwafanyia kazi mabosi wao tu na hakuna wanacho kiambulia.niseme hivi!! kama hautakuwa na elimu hii na kuzijuwa siri hizi, Mara zote utakuwa mtu wa kumtegemea bosi wako,mume,kibarua(job)au mke.pasipo kujua kawa maisha ndo yanakusukuma.siku zote maisha yanatusukuma wengi,baadhi yetu tunakata tamaa na wengine tunapata kuzielewa njia za kupambana nayo na tunasongambele.kwanza ili uweze kuwa tajiri ni lazima ubadilishe mfumo mzima wa mafikirio yako usifikirie tu kuajiriwa,yaani achana kwanza na wazo la kuwa mtumishi wa pesa. hebu fikiria kutengeneza pesa wewe kama wewe pasipo kuajiriwa.kwanza acha kuwalaumu watu kuwa ndo chanzo cha wewe kushuka kiuchumi bali jifanye wewe ndo kama tatizo.acha nikwambie kitu hamna kitu kigumu kama kumbadilisha mtu kwenye msimamo wake,hivyo basi ni rahisi tu ukajibadili wewe ukaanza Leo kujiwekeza kidogokidogo,pasipo kufanya kazi kiwandani au kwenye kampuni ya mtu frani ukamwingizia mamillion alafu wewe ukapoteza muda wako ambao ungeutumia kuzalisha kwa ajili ya pesa zako.badala yake unamuuzia mtu anakulipa pesa isiyo sawa na thamani ya ule muda ulio utumia.niseme kuwa!!watu wengi wanahisi kufanya kazi na kujikeep bize ndo watapata pesa au utajiri mwingi kupitia kuongezewa mishahara kitu ambacho siyo sahihi.

katika siri hii kuna vitu vitatu vya msingi kuvizingatia ambavyo ni.

#epuka kuuza muda wako.
ndugu zangu hapa najua wengi mtakataa lakini ndio ukweri mwenyewe kuwa "mtu yeyote aliyeajiriwa hatasikumoja hawezi kufikia uchumi huru(economic freedom)"samahani kwa wale mnao watumikia mabosi wenu siri hii imekuwa maalumu kwenu.ila ukweri ndo huu kwamba mtaishia kuwa watumishi daima na kuwashujudia mabosi wenu kwa kuwaona wako tofauti na nyie kumbe mko sawa.sikatazi mtu kuajiriwa ila kama unandoto za wewe pia kuitwa bosi acha kazi Leo andaa miradi yako vizuri kama siri namba moja inavyo elekeza utaona mafanikio yapo mikononi mwako,ndo maana unazidi kumnenepesha kitambi bosi wako.kwa sababu anajua unachoingiza si kile unachikijua wewe bali yeye. hebu anza leo uone maajabu achana na ajira ile ni mitego ya kukupeleka umasikini ulipo thamini mda wako usiuuze kwa bosi wako.badala yake utumie wewe kama fursa,wa najua kama muda wako ni wathamani ndo maana wanaificha hii siri kwa wafanya kazi wote isivuje msije mkashituka kutoka usingizini lakini bahati nzuri nawaamsha Leo.hebu fikiria kwanini ukiwa Mzee wanakutoa pale kwenye nafasi yako na kumweka mwingine!!?wanajua umekua kapi baada ya kuutumia mda wako kuzalishia Mali zao sasa hauna maana tena ndo maana wanakutoa.act now!

#tegua mitego maishani.

mara nyingi maisha ya mtu yanaongozwa na vitu viwili: uoga na tamaa.yaani uoga wa kutokuwa na pesa na tamaa ya kuwa na pesa maishani sasa wanachokosea wengi duniani ni kuwa wanahisi kuwa na pesa nyingi ndio watapunguza uoga au wasiwasi wao maishani.ukweri ni kwamba kadri unavyozidi kuwa na pesa nyingi ndivo unavozidi kuongeza wasiwasi na misongo ya mawazo kichwani ya uoga wa kuzipoteza zile ulizo nazo. wetu wengi huwa ni waongo wa nafsi zao kwani huenda wakahisi kupungukiwa pesa lakini badala ya kutafuta jinsi gani wataongezea pesa zao basi wao wanaamua kujiingiza kwenye mtego wa panya(rat trap) pasipo wao kujua.na mtego Mkuu wa maisha ni ajira, ambao humnasa mtu kirahisi na kumuendesha mtu maisha yake yote bila mafanikio yoyote,hebu chukulia watu wote wngekua wameajiri matajiri tungewapata Leo hii!? jibu ni hapana!! hiyo ndiyo siri ya kuzingatia.

#ona wasivyo viona wengine
(seeing what other miss)

ili uweze kuwa tajiri lazima uwe na jicho lionalo wasiyo haina wengine.yaani uzione fursa zinazokujia mbele yako na zijazo nyuma yako na zote uzifanye kuwa pesa.ninapo sema kuwa na jicho lionalo wasivyo viona wengine namaanisha utumia akili kuzijua fursa zilizopo karibu yako yawezekana ni nyumbani kwako,mtaani kwako au nchini mwako na uzitumie ,Mara nyingi fursa kwenye ulimwengu wa biashara hauwezi kuziona fursa za kuwekeza pesa zako kwa kutumia macho ya kawaida (necked eyes) Bali ni lazima utumie jicho kutoka akilini ndo lionalo mbali na kwa ufasàha .

kiujumla siri hii ya pili inawakumbusha watu wote wenye ndoto za kuwa matajiri wakubwa waachane na ajira na waanze kujikita katika uwekezaji na kutumia akili kuzipata fursa zilizopo karibu yao lakini pia kuachana kuwa watu tegemezi kwa mabosi wao kwa kuuza muda wao kwa kiasi kdogo cha pesa.......siri namba tatu I nakuja(64+56) twezetu]
IMG_20180808_104132.jpg
 
kiujumla siri hii ya pili inawakumbusha watu wote wenye ndoto za kuwa matajiri wakubwa waachane na ajira na waanze kujikita katika uwekezaji na kutumia akili kuzipata fursa zilizopo karibu yao lakini pia kuachana kuwa watu tegemezi kwa mabosi wao kwa kuuza muda wao kwa kiasi kdogo cha pesa.......siri namba tatu I nakuja(64+56) twezetu]View attachment 830029
Siri ya kwanza pliz wap inapatikana
 
Mimi. Nitapenda kujua wewe upo level ipi ya utajiri kwa sasa..
Maana siku hizi watu wanasoma vitabu na kuja kudadavua hapa ila wao sio watendaji.. nikijua kua umefika wapi ktk utajiri wako basi nitafuata hayo unayotuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu theory nyingi sana na kuwaaminisha watu kuwa mambo n rahisi. Mtoa mada ukitaka tukuelewa weka vitu practical ulivyofanya ww la sivyo hizi ni kelele au chai kama chai nyingne tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata vile vitabu vinaitwa inspiration books zinatuhasa kuwa usomapo usiache kuvitendea kazi ili uonje mabadiliko ya yaliyoandikwa humu
 
Back
Top Bottom