Siri za viwanda na makampuni ya kutengeneza dawa za kizungu

Mkuu Hao wanaotengeneza Dawa za (product za Forever) ni sawa sawa na Dawa za kizungu vidonge. Ukiona Dawa ya Mitishamba imeandikwa hivi (date of production and Expire Date) ujuwa hiyo dawa ina sumu ndani yake Dawa nzuri ni dawa ya mitishamba iliyokuwa haina hayo maandishi.Iweje Mti uwe na tarehe ya mwisho wa kutumia? tangu lini Chungwa au embe au kitunguu saumu kikawa na Tarehe ya mwisho kutumika? Ukiona chungwa au Embe au kitunguu Saumu kina tarehe ya mwisho kutumika ujuwe hayo sio matunda Orignal ni matunda feki.

View attachment 372704 View attachment 372705
Angalia hapo Herufi za MFG: Tarehe 04/09/2014 hiyo ndio Tarehe iliyo tengenezwa hiyo Cheese (jubini) na Tarehe ya mwisho ya kutotumika ni hii hapa Tarehe 04/09/2017 sasa hicho chakula ni feki kwa mujibu wa hizo tarehe hakifai kuliwa kina sumu ndani yake chakula kizuri kisicho kuwa na Tarehe za aina yoyote ile. Na angalia hilo Yai linatumika mwaka 2015? kwanini Yai liwe pia na Tarehe ya mwisho ya kulitumia? ukiona hivyo Yai lina tarehe ya mwisho kulitumia ujuwe ni Yai feki sio yai la kuku wa kienyeji.

Ahsante Mkuu...ila mashaka yangu kidogo vitu visivyo feki huwa vinapitwa na wakati kwamaana ya kuharibika pia... mfano Yai ambalo halina maandishii tufanye Yai kuku wa kienyeji...lisipo tumika kwa muda mrefu linakuwa halifai tena kwa matumizi ya binadamu. Vivyo hivyo kwa vitunguu swaumu, embe, chungwa na matunda yeyote yale....hupitwa na muda na kuoza ama kuharibika. Tofauti yao ni moja tu kibandiko cha tarehe ya mwisho. Vingine vina mwisho wa matumizi japo havina tarehe.
 
Huwezi Kufananisha kuoza kwa Natural foods ukafananisha na kuoza kwa Vyakula Feki ya kutengenezwa na Madawa ya Sumu viwandani Aka Date Product and Date of Expire bora kuoza kwa Natural food aliko umba yeye Mungu kuliko kuozakwa kutengenezwa na Binadamu kuoza feki mimi ninako ita jina hilo. Kwa Mfano ninakupa test nikikwambia uende kununuwa chakula je utakwenda kununuwa Sokoni kwa fresh foods au utakwenda kununuwa kwenye Maduka ya Super Market? je utachaguwa wapi pa kwenda kununuwa? Ninakuomba unijibu ili nipate kuelewa upeo wako wa akili asante.

FRESH FOODS.jpg

FOOD MARKET.jpg

Supermarket vs local market.jpg
 
Huwezi Kufananisha kuoza kwa Natural foods ukafananisha na kuoza kwa Vyakula Feki ya kutengenezwa na Madawa ya Sumu viwandani Aka Date Product and Date of Expire bora kuoza kwa Natural food aliko umba yeye Mungu kuliko kuozakwa kutengenezwa na Binadamu kuoza feki mimi ninako ita jina hilo. Kwa Mfano ninakupa test nikikwambia uende kununuwa chakula je utakwenda kununuwa Sokoni kwa fresh foods au utakwenda kununuwa kwenye Maduka ya Super Market? je utachaguwa wapi pa kwenda kununuwa? Ninakuomba unijibu ili nipate kuelewa upeo wako wa akili asante.

View attachment 373176

View attachment 373179

View attachment 373180

kwa nini nikanunue vilivyoongezewa flava, rangi, na madawa ya kuhifahdi chakula. Nitakwenda Kariakoo au Kilombero mkuu!!

nimesema hile hapo awali kutaka kusema tu hata natural food vinaharibika...hivyo ukila wakati vimeharibika kama Mungu alivyoumba..bila shaka utapata mazara halikadhalika na kwa hivyo Feki. Ila feki pia vinafaa kuliwa ila kama havijapitwa na muda wake wa matumizi ila ni namna gani mtu anakula hapo ni ishu nyingine tena!
 
Kila chakula kina time limit ya matumizi.Hata hizo mitishamba ukishaitengeneza (kuichemsha au kusaga etc) haitalast milele after few weeks kitaharibika kwa sababu ya microbial activity

Tukumbuke pia dawa nyingi zinavunwa kutoka kwenye mitishamba.
 
kwa nini nikanunue vilivyoongezewa flava, rangi, na madawa ya kuhifahdi chakula. Nitakwenda Kariakoo au Kilombero mkuu!!

nimesema hile hapo awali kutaka kusema tu hata natural food vinaharibika...hivyo ukila wakati vimeharibika kama Mungu alivyoumba..bila shaka utapata mazara halikadhalika na kwa hivyo Feki. Ila feki pia vinafaa kuliwa ila kama havijapitwa na muda wake wa matumizi ila ni namna gani mtu anakula hapo ni ishu nyingine tena!
Mkuu uchaguzi wako wa kula ukitaka kwenda sokoni kununuwa chakula nununuwa ule ukitakacho kununuwa kwenye Ma Duka ya Super Market chakula nununwa ule kazi kwako.Siwezi kukulazimisha chakula ninachopenda mimi kula ule wewe pia. Mungu amekupa Akili itumie akili yako ipasavyo.
 
Back
Top Bottom