Siri zetu zina tuumiza

Siri zetu zina tuumiza

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Yaani unakuww na siri yako unatamani kuongea na mtu ila hujui yupi sahihi inakuja swala la siri ni ya kwako peke yako akijua mwingine sio siri inaendelea kukutafuna bila kujua mwisho wake na nini cha kufanya 😒😒😒
 
Pole sana Ndugu yangu. CCM ndio wanaoumizwa na Siri na hawawezi KAMWE kusema, rejea alichosema Yule DC hahahaha masaa nane yalikua MENGi, hajulikani alipo hadi Leo.

Ndugu Zangu CHADEMA wao walaaaaaa hawanaga Siri za kijinga, mnapeana makavu live, kwasababu Ushindi wako ni WAKO sio wa Mwenyekiti wala mjumbe.
 
Siri yako una mwenyewe au,, tafuta mshauri ambae ni mtaalamu lipa weka appointment kamwage Siri zako huko kalie huko piga yowe maliza ondoka zako..... Lakini huku mtaani sijui ndugu rafiki we wape Siri zako wakusaidie kuzitangaza na hawatakupa ushauri wowote wa maana zaidi ya Kukucheka na kukudhihaki
 
Back
Top Bottom