Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Ndugu yangu. CCM ndio wanaoumizwa na Siri na hawawezi KAMWE kusema, rejea alichosema Yule DC hahahaha masaa nane yalikua MENGi, hajulikani alipo hadi Leo.Yaani unakuww na siri yako unatamani kuongea na mtu ila hujui yupi sahihi inakuja swala la siri ni ya kwako peke yako akijua mwingine sio siri inaendelea kukutafuna bila kujua mwisho wake na nini cha kufanya 😒😒😒