Siri zetu zinavyosambaa.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Ukiwa na rafiki mwenye mke au tu mahusiano yale ya kushibana ukajidanganya umwambie siri yako ataenda kumwambia mkewe.

Sijui kuna kaugonjwa gani ka wenza wakiishiwa stori wanaanza kupiga walizokutana nazo mchana. Basi huyu mke naye anashosti wake walioshibana wanaoshare hadi stori za maex na michepuko. Huyo shosti naye atakuwa na shosti wanayeshibana...hadi kufikia hapo siri yako ishafichuka.

Hapa najua atanielewa saana Sky Eclat. Kaizer akimwambia siri Asprin basi Asprin akishashiba chakula ile anajiandaa kula chakula kilichoandaa chakula atamsimulia mwaandaa chakula Sky Eclat. Sky naye ataenda kumweleza shosti wake wa tandale naye yule wa tandale anashosti.
 
Inakua hivi, Asprin amelala nje. Kwa hasira Nina fika ofisini Ninamhadithia Shunie. Shunie ananipa moyo siku inakwisha. Ukifika nyumbani unakuta Asprin amepika chakula na kuna chupa ya wine. Anasema mama nilipiga K-vant wakati ninaangalia match ya Liverpool nimeamshwa asubuhi na mwenye pub.

Shunie anajua bado kuna waka moto huko nyumbani anamhadithia Kidawa lakini anamwambia iwe siri. Kidawa akiwaona anajua unapitia mengi kumbe wewe ulisha yasahau.
 
Hahaha.

Kabla haujamaliza wine unamwambia Asprin uliyomwambia Shunie .
 
Hizi ndo salamu za mwaka mpya?

Ngoja nitoke Mamsera huku ndo utanitambua
 
Unanichafua? Ni lini nshawahi kulala nje wakati kuna magestihausi kibao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…