Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ukiwa na rafiki mwenye mke au tu mahusiano yale ya kushibana ukajidanganya umwambie siri yako ataenda kumwambia mkewe.
Sijui kuna kaugonjwa gani ka wenza wakiishiwa stori wanaanza kupiga walizokutana nazo mchana. Basi huyu mke naye anashosti wake walioshibana wanaoshare hadi stori za maex na michepuko. Huyo shosti naye atakuwa na shosti wanayeshibana...hadi kufikia hapo siri yako ishafichuka.
Hapa najua atanielewa saana Sky Eclat. Kaizer akimwambia siri Asprin basi Asprin akishashiba chakula ile anajiandaa kula chakula kilichoandaa chakula atamsimulia mwaandaa chakula Sky Eclat. Sky naye ataenda kumweleza shosti wake wa tandale naye yule wa tandale anashosti.