Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Kweli asubiri mvuta bangi mwenzie
 
Mmuuuuuh:jamani
 
Hata huyo wa goli mbili za kuunganisha ungempiga chini kwakua wapo wanaounganisha tatu ndani kwa ndani.. Gawana hivyo hivyo kila mmoja apate kaduchu, mko wengi...
 
Hii story nimeisikia kwa diva the bousy, Kama sio yako ni Bora Ungetoa reference kuliko kuweka Kama ilivyo Ila kama ni ww mmmhhh polee
 
Ushauri?

Kabla ya kuomba ushauri ulijiuliza kilicho Fanya jamaa ampe mimba mwanafunzi?

Huoni kama wew unaweza ukawa chanzo?

Kuna uwezekano mwanafunzi alikuzidi kete hasa katika secta ya ubinuaji wa kiwango cha rami kwenye hio michezo.

Kwann jamaa amekutupia gori nyingi zisizo na idadi mpaka za kuunga na ukajikuta mfungwaji unashangilia na washangiliaji na umeshindwa kumzawadia hata kombe moja

Huoni kama kombe alilo zawadiwa na mwanafunzi limemfanya aende jela moyo wake ukiwa na amani kuliko kung'ang'ania mechi 100 zisizo na zawadi

Mungu ni wa ajabu naomba hicho kijeba alichokupa upambane nacho tu hivyo hivyo maana umeyataka mwenyew
 
MWANDIKO WA KIUME KABISA HUO, HATA SIJAMALIZA KUSOMA NIMEACHA


ile miwani yako umeipata? nisije kukuumiza macho
Naona unaham unifahamu,kesho njoo Chalinze
 
Cutelove naomba niwe mchepuko wako nitakuchezesha sio bundersliga tena ila kriket kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…