Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Maisha magumu mama wewe unafikiri anatumia akili kiasi gani hadi apate pesa ya kukulipia pango,ajilipie mwenyewe sometimes asomeshe wadogo zake atunze wazazi etc.msongo wa mawazo unachangia muhimu mfariji acha kuja kumuanika huyo jamaa humu mitandaoni...ukitaka raha za mwanzo bila wewe kuzitengeza kwa huyu mpya msubiri huyo muhuni wako atoke jela aje akugonge kihuni maana muhuni yake bangi tu hakuna lengine aliwazalo.
 
Back
Top Bottom