Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Ndo ivyo ujue sasa hata wanaume na wanawake wanaendana na power capacity ya kila Mtu kuna manaume ni kamili kabisa lakini low, akakutana na mwanamke Hi ataonekana mzigo na ubabe utamuisha
 
sahihi kabisa mkuuu
 
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.

Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.

Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.

Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.

Naombeni ushauri jamani!
These hoes ain't loyal... Endelea kula mashine kpenz... Alafu after 3 months tupe mrejesho
 
Unakuja Kwa ID mpya kusoma upepo au kupata wachangiaji wengi? Upuuzi wa kiwango cha lami..
 
Usimuache tafuta namna ya kumsaidia ili akuridhishe vizuri..Kumuacha tu kisa hakuridhishi mimi naona sio suluhisho la kudumu. Asante
umemjibu kwa upole na ustarabu hadi nikarudia kusoma avanter kama ni wewe kweli au naota

teh teh
 
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.

Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.

Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.

Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.

Naombeni ushauri jamani!
Baada ya kuona Uzi wa kutafuta rafiki wa kiume nikavutiwa kufatilia nyuzi zako.
What I found.
Wewe ni msomi Kama siyo deploma basi degree na kuendelea.
Your very smart kwa vitu vingi, siasa, mapenzi kwa levo ya kitaifa na kimataifa.
Hongera Sana.
 
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.

Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.

Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.

Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.

Naombeni ushauri jamani!
Your first thread.
Naomba kujua kwa Sasa unaishi mkoa gani?. cutelove
 
Hapo morogoro utakutana na waluguru watakuridhisha
 
Back
Top Bottom