ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
Ndiyo maana thread yake ya Leo anatafuta rafiki wa kiume. Si unajua razima upitie history kidogo Kisha utupe ndowano yako labda inaweza nasaBro ndio unaomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana thread yake ya Leo anatafuta rafiki wa kiume. Si unajua razima upitie history kidogo Kisha utupe ndowano yako labda inaweza nasaBro ndio unaomba?
NimekubaliNdiyo maana thread yake ya Leo anatafuta rafiki wa kiume. Si unajua razima upitie history kidogo Kisha utupe ndowano yako labda inaweza nasa
duh ulishaachana nae? sasa hivi utakuwa na miaka 32 je umeshaolewa?Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.
Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.
Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.
Naombeni ushauri jamani!